Ili swala la kuongea siasa kwenye nyumba za ibada Lina utata...ebu tafakari kidogo

Wewe unaonesha mlengo wa KI'CHADEMA ,ni kawaida yenu kupiga kelele hamna mtakachofanya ,waoga nyie mbwa koko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapana mimi ni msomi niliefundishwa nikaelewa na kujitambua. Sina chama walk kadi ya chama chochote ila najaribu kutumia elimu yangu vizuri siyo kwa kufuata mkumbo au ushaabiki.
 
Mada ipo sawa unajua tangu enzi za utawala wa kirumi ilikuwa ili mamlaka ziheshimiwe lazima dini na watawala wa Dola wawe kitu kimoja. Ukimponda mtawala mbele ya waumini wako ambao ni watawaliwa unamfanya mtawala awe na KAZI ngumu kutawala "Tunaelewa hivyo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…