Nimeisikiliza dira ya taifa ya kuelekea 2050 japo naona haijatutendea haki kwani imetukadiria kwa udogo lkn kama hatutakuwa serious tunaweza tusitoboe.
Jambo muhimu ninalopendekeza ili kufikia malengo hayo kwa haraka lazima tupunguze maslahi kwenye siasa na tuweke hayo maslahi kwa wataalamu na wabobezi ambao ndio watekelezaji wa mikakati yote iliyopangwa kwenye hiyo dira
Tuondoe kabisa vichocheo vya wataalamu kukimbilia kwenye siasa