Ili tusipate hasara, Serikali ibadilishe Uwanja wa Ndege Chato 75% uwe wa Kijeshi

You must be having a psychiatric case, sio bure. Nyerere International Airport, Dsm kwa nini usingejengwa Maneromango.

Huyu Magufuli kwa nini hizo rasilimali alizotumia kujenga kiwanja cha ndege kijijini kwao asingezitumia kuboresha cha Mwanza?

Haya ni matumizi mabovu ya rasilimali za nchi kwa kujificha nyuma ya katiba mbovu. Bure kabisa.
 
Mkuu kwa sasa umeme unasambaa nchi nzima naamini zipo fursa nyingi zinakwenda kuibuliwa.

Nyumbani Ngara kuna ile shughuli ya nickel kuanza kuchimbwa maana yake kuna fursa nyingine za kijamii zina kwenda kuinuka.
Nyumbani Karagwe.. Lakini fursa ili uwanja uinuke ni 20+ years yaani nakuhakikishia hilo.. Nickel haiwezi kuinua uwanja huo
 
Dikteta ndiyo aliamua hivyo mpka wanyama wakawa wanabebwa kupelekwa huko sijui umewahi kuona wapi.
Nimewahi kusikia twiga walipandishwa ndege kwenda ughaibuni, sasa sijui Hilo utasemaje!
 
Unaujua umbali kutoka Kilimanjaro International Airport kwenda Arusha/ Moshi mjini? Umekariri badala ya kuelewa.
 
Mada yako ni fikirishi, pamoja na kulembalemba kwingi sehemu zingine za mada hiyo.

Kuna jambo ambalo umeliandika ambalo silijui na wala sikuwahi kulisikia.
Kwa mnaojua historia ya nchi yetu mtakumbuka mji wa Mwanza uliwahi kushambuliwa mara kadhaa kwa ndege za kivita toka mataifa jirani mwaka 1972
Hili tukio ni tofauti na lile la vita ya Kagera?

Naona kwenye mada yako unaogopa kutaja Rwanda, Burundi na DRC.

Wakati jsehemu kubwa ya Jeshi la Anga likielekea Chato, ni wazo zuri pia kupendekeza kwamba hapo Mwanza pawepo na Jeshi la Maji ndani ya Ziwa Victoria. Umuhimu wa hili nao usibezwe.
 
Yuko wapi sasa
 
Mwalimu aliwahinkusema ..Katiba yetu ni mbovu akipatikana Rais Mpumbavu atakuja kuwa Dikteta ...na kweli akatokea !
Tulikuwa na Rais ...ndio maana aliendaa kujenga Uwanja wa ndege Mkubwa kama ule Kijijini kwake...
Ni Utopolo tu anayeweza kuuliza swali kuwa Katiba hii hi nzuri au mbaya!
Hatahivyo Katiba hiihii akikabidhiwa mwerevu na juha ...matendo yao yatatofautiana!
Tuombe Mungu atupe Rais Mwereevu na sisi wananchi tusshinikize uwepo wa mifumo thabiti!
Badala ya kutegemea kudra za Maulana !
Vyovyote itakakavyo kuwa ...tulikuwa na Rais Mshamba na Limbukeni?
 
Pumbavu,

Wewe mwenyewe fursa ikitokea utapiga fedha kuliko uwezo wako, Iweje umlaumu mwingine Kwa fursa ambayo iko wazi na wananchi walishakubaliana Nayo?

Kama katiba ni mbovu, unamlaumu Nani, eti tegemeo lako ni upate malaika ili atende mema na hofu yako asipatikane mtu mbovu kwa sababu atatufanya kitu mbaya Kwa katiba iliyopo,

Hii ni akiliii au matope

Kwa mjibu wa katiba Yetu, JPM alifanya mema Sana, na tena ushukuru Kwa sababu aliyoyafanya yoote ni Mali yenu, Je angeamua kujimilikisha yeye?? Katiba ipi ingelimkataza asifanye hivyo?? Waliowahi kupita, walichepusha Hadi Mita floo ya mafuta na wakajijengea sheli za mafuta nchi nzima Kwa sababu katiba lenu halina Meno ya kuhoji kazi za kiongozi mkuu na hata kumfikisha mahakamani,

Mnategemea kupiga kelele kiongozi mkuu akiharibu, katiba haiwezi kumfanya ashitakiwe, sasa unategemea nini Wewe?

Hivi Kwa nini Sisi Watanzania tunakichwa kigumu Sana tukiambiwa ukweli tunapenda kuukwepakwepa na kutupa lawama mahali ambapo sio sahihi?

Usimlaumu JPM Kwa kujenga kwao Chatto, ilaumu katiba yako iliyokosa Meno na mwelekezo Bora wa nini mkuu wa nchi hapaswi afanye na kipi afanye

Ushauri, Tafuta kushawishi wananchi ili ikubalike kuunda katiba mpya, usiwe mtu wa kila siku kuombea upate Raisi mwema!

Naililia nchi yangu Tz, inawajinga wengi Sana, majitu yamesoma na hayajawahi kuelimika

Nchi haina mpango Makati wa kitaifa, ni Rais pekee ndiye huamua afanye kipi na wapi katika Uongozi wa kipindi chake, halafu eti akifanya analaumiwa, doh..!
 
Kwa hiyo Magufuli alipata fursa akaitumia🥺🥺🥺 Kujipendelea...haya mkuu Baki na akili zako!
Nawaombea wanao wasirithi akili hizi!
 
Na unaweza kukuta huko chato kuna watoto wanakaa chini na vyumba vya madarasa hakuna " duh, kupanga in kuchagua"
 
Wangeruhusu wakina ngosha wachunge ng'ombe ndani ya huo uwanja, waweke entrance fee...alisikika mlevi mmoja
 
Kwa hiyo Magufuli alipata fursa akaitumia🥺🥺🥺 Kujipendelea...haya mkuu Baki na akili zako!
Nawaombea wanao wasirithi akili hizi!
Sawa mkuu, Ila unahitajika kuwa unaelewa Kwa wepesi

Mkuu, katiba tuliyonayo na mfumo wa nchi yetu, unampa Raisi kutenda Kwa niaba yetu na hakuna mahali Kwa mjibu wa katiba kwamba tumhoji ni kivipi anajenga uwanja Chatto na wakati mioyoni mwetu tunahisua na kuombea kwamba Mh Raisi, angepeleka bahari Dodoma, mambo ya ajabu Kweli haya, na Kwa mjibu wa katiba Yetu, hawezi kushitakiwa popote Kwa makosa yake ya kipindi akiwa madarakani

Kama ni hivyooo!!! Kwa mjibu wa katiba Yetu, nionyeshe kosa lake ni lipi kwamba akijenga uwanja wa Ndege Chatto, anakosa kisheria, embu nionyeshe nione,

Kwa sasa ulishaanza kupiga kelele kuhusu usawa wa mgao wa fedha za muungano, ni Kweli sio haki ukizingatia Bara ni wengi kuliko visiwani, lakini ukija kwenye katiba Yetu, imetaja hivyo, mwenye kosa ni Nani, anayetekereza au kosa lipo kwenye katiba??
 
Hapo inatakiwa wananchi waanike dagaa full stop.
Ndio kinachoenda kutokea ni suala la
Mkuu kwa MATAGA Kama wewe tutakesha najua Ulisajili Akaunt Jamii Forum Alhamis tarehe 18/03/2021 kwa kazi Maalum kumtetea maiti!
Endelea ...ila ukweli ndio huo ..Katiba yetu kweli Ina kasoro na Ukipata Amiri Jeshi Juha ...mtaumia ...!
Tumeshajifunza.... Mimi na Wewe tuungane kuleta KATIBA MPYA ILI KUEPUKA KUJA KUTAWALIWA NA IBILISI TENA!
Na Mungu Bila Shaka yupo nasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…