Ili tusipate hasara, Serikali ibadilishe Uwanja wa Ndege Chato 75% uwe wa Kijeshi

Mwanakulitafuta mwanakulipata... ukijamba mi nakunyea mazima....eti ngono... Kwahiyo Hata Suleiman alikufa masikini kwa kuendekeza ngono muda wote sio!!! πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Unamzani wa utajiri na umasikini nn! Ujinga Ni mzigo.
Lala hupo mpuuzi wewe
 
Lombo mpenda kutafuniwa, utatafunwa sana makalio yako.

Haya basi, chukua hiyo;
Kwa taarifa tu, Hifadhi ya Wanyama kwa kizungu huitwa Wildlife Sanctuary, usijesema na hii ni zoo.

Man made Wildlife Sanctuary in India
Nimbwindo Mimi sitafuniwi natafuna mwenyewe ...ahsante kwa taarifa ingawaje sijafu gua nisomeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila unajua kinachoendelea kwenye hiyo Hifadhi ya jiwe!
 
Hili wazo litafaa kuliko wale wa kuanika mihogo uwanjaniπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈ
 
audi Mchambuzi said:
Hapo inatakiwa wananchi waanike dagaa full stop
Hatuna haja ya kugombana kwa kuwa sisi binadamu tulipewa akili na utashi na ile ni mali isiyohamishika mbona kuna mengi ya kufanyika endapo tutakuwa na mtizamo chanya kuhusiana na uwanja huo tena kwa faida kubwa tu kwa nchi cha msingi tuachane na mitizamo hasi tupambane kuupa kazi uwanja huo.
 
Wazo zuri ...Mambo menhine ya kujitakia ahaa😰😰😰
 
Nilikuwa naenda Mwanza tukapita Chato aisee walishuka abiria wawili tu na tukapaa kama dakika kadhaa tena tukaanza kushuka kiukweli ule uwanja ni mzigo.
 
duuh kuna mambo yanasikitisha sana.

jana nimeskia mahali lile daraja refu kuliko yote linaloenda huko limetumia bilioni 700πŸ˜ͺπŸ˜ͺ.

huu uwanja ulitumia pesa ngapi?
 
Mradi pekeee wenye manufaa aliofanya jiwe ni SGR ZINGINE zote na hasara na ujinga mtu ikiwepo salenda Bridge waste of money labda ziwe meli za ziwe Victoria inawezekana ikaza za faida
 
Nafikir huelewi maana ya faida na hasara.
Yaani uwanja ndani ya miaka5 unahita repairs na maboresho alafu hautumiki unasemaje huoni hasara?? Wakati hauzalishi??
Wapewe jeshi indefinitely angalau hapo utaleta indirect benefits
 
Safi sana...
 
Hivi mataga Rais SSH akianzisha mchakato wa kujenga international airport na miradi mingine ya kimkakati Kijijini kwao mtaambia nini watu??
Uwanja autolee wapi ?? Labda baharini
 
Kuna haja sasa kuanzishwe chuo cha kisasa cha urubani mkoani chato
 
Hongera kwa kumhisi adui mtarajiwa
 
Sasa ukifanywa wa kijeshi utazuiaje hasara? Jeshi hawana haja ya uwanja huo kwa mahitaji yao ya sasa la sivyo wangeisha omba fungu kwenye bajet kujenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…