Ili uchumi ukue, tukubali Rais aongezewe muda hata miaka 20 Ili amalizie miradi yake yote

Ili uchumi ukue, tukubali Rais aongezewe muda hata miaka 20 Ili amalizie miradi yake yote

Mbona taifa kubwa la marekan rais anachaguliwa kila baada ya miaka minne,na aruhusiwi kukaa zaid ya miaka 8. Vp tukifananisha uchumi wao na gambia,uganda au zimbabwe ambapo marais wamekaa miaka zaid ya 30?
Marekani na Tanzania ni mazingira tofauti.
 
Hapa leo tuelewane , Maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja.
Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli.
Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya Bara Bara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la kuzalisha umeme.
Akikaa na Akatulia Akamaliza kila kitu Alichoanzisha Basi nchi itakua imefika mbali na tutaziacha nchi nyingi za Afrika kimaendeleo.
Wasi Wasi wangu akiingia Rais mwingine ataharibu trend ya Miradi na tutajikuta kila alichoanzisha Rais Magufuli kinasimama na tutaishia hapo hivo tumuunge mkono akae Miaka hiyo 20 ili amalize kila kitu ndio astafu hapo itakua safi tu.
Natamani ungekuwa karibu nikutandike risasi ya kichwa
 
Back
Top Bottom