Ili uchumi ukue, tukubali Rais aongezewe muda hata miaka 20 Ili amalizie miradi yake yote

Mbona taifa kubwa la marekan rais anachaguliwa kila baada ya miaka minne,na aruhusiwi kukaa zaid ya miaka 8. Vp tukifananisha uchumi wao na gambia,uganda au zimbabwe ambapo marais wamekaa miaka zaid ya 30?
Marekani na Tanzania ni mazingira tofauti.
 
Natamani ungekuwa karibu nikutandike risasi ya kichwa
 
Mwenyewe anakiri kazi ya urais Ni ngumu ..sasa wewe Ni nani unayetaka tumuongezee hiyo miaka
 
Mwenyewe anakiri kazi ya urais Ni ngumu ..sasa wewe Ni nani unayetaka tumuongezee hiyo miaka
Watanzania wote tunataka Rais Amalizie miradi yake yote aliyoianzisha ni lazima akae miaka 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…