hahahahaha ngoja nikae kimya maana hata wewe "Pure talented, Charismatic feller, Game changer and Entertainer" unaogopa kabisa hata kufungua mabano tena ukipewa ulinzi kabisa na bingwa wa michezo hii aka Mr PK?..
Uchumi wetu unakua kwa zaidi ya 7%, Tunajenga miundo mbinu yetu kwa fedha za ndani, Tunajenga stieggler george, maflyover yakutosha, SGR na train ya umeme, mizigo bandarini kedekede, pato la mtanzania linakuwa kwa kasi sana, Tunamiliki madege ya kutosha, Elimu bure sasa, vituo vya Afya vimezagaa nchi nzima, Barabara za lami kila kona, Tumeshaanza kutoa misaada kwa mataifa masikini kama Malawi, Zimbabwe nk.. TANZANIA INASONGA MBELE SASA ila mabeberu na mawakala wao wanataka kutukwamisha sasa.