Ili upumue na nuksi zinazoanza Kukuandama sasa Wewe kama Baba na Mwanao Mjeuri fanya yafuatayo

Ili upumue na nuksi zinazoanza Kukuandama sasa Wewe kama Baba na Mwanao Mjeuri fanya yafuatayo

Naunga mkono hoja
1. Ondoa Takataka Sugu iliyopo Ilala Boma inayopendwa sana na Mazingira ya Magogoni/ Kivukoni
2. Mtumikie Mungu kweli wa Ibrahim, Isaka na Yakobo na acha Kupenda Ushirikina kupitia Lucifer
3. Usikubali na usipende sana kupokea Ushauri wa ' Matege Mbanio ' na ' Mimacho Mimate ' unaowaamini
4. Punguza Kumsaliti wazi wazi na Kumdharau uliyemtoa Kota za Polisi kwani anakulaani Kimoyomoyo
5. Tumia muda wako mwingi Kutubu na Kisirisiri Kuwaomba radhi wale uliowakosea kwani wanaumia
6. Waheshimu Wakubwa zako na waliokutangulia pia Kikazi na acha Kuwadharau au Kuwadhalilisha
7. Jishushe acha Ubabe, Kiburi na Ujeuri wako wa Asili kwani ndiyo unaokugharimu kwa sasa

Nuksi yako yote imetokana na hayo mambo Saba (7) niliyoyataja hapa. Yatafakari na badilika upesi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GENTAMYCINE,
Mtuache kwa muda, tumeitisha kikao na wataalam wetu wa mambo ya jadi, hapa kuna makarai yana maji na vioo ili tuone kila linalofanyika white house.

Pia tunaangalia namba ya kumroga Pompeo nankumpiga nuksi kali yeye na Trump ili wachukiwe kila mahali duniani, hapa kuna ndoo saba za mayai viza, maiti,na fisi, wanyama wanaochukiwa sana,tunapiga nuksi utawala wa Trump kwa kutumia zana hizi.



Pia tumeagiza wataalam wa vipande kutoka Tanga na Pemba na wataalam wa kupiga radi ili ndege ya Pompeo ipigwe radi angani iungue
Haa mnatumia software za mablack ila coding zake zina kuwa siri mmarekani hapo hatii mguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahaha ngoja nikae kimya maana hata wewe "Pure talented, Charismatic feller, Game changer and Entertainer" unaogopa kabisa hata kufungua mabano tena ukipewa ulinzi kabisa na bingwa wa michezo hii aka Mr PK?..

Uchumi wetu unakua kwa zaidi ya 7%, Tunajenga miundo mbinu yetu kwa fedha za ndani, Tunajenga stieggler george, maflyover yakutosha, SGR na train ya umeme, mizigo bandarini kedekede, pato la mtanzania linakuwa kwa kasi sana, Tunamiliki madege ya kutosha, Elimu bure sasa, vituo vya Afya vimezagaa nchi nzima, Barabara za lami kila kona, Tumeshaanza kutoa misaada kwa mataifa masikini kama Malawi, Zimbabwe nk.. TANZANIA INASONGA MBELE SASA ila mabeberu na mawakala wao wanataka kutukwamisha sasa.
Nikuwaendea kwa ungo maana software za kutumia ungo hawana hata hilo ban halina maana kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom