magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Wapi watu wanauwawa hawapigi kelele? Gaza?Mbona UKRAIN wanapiga kelele wakiuliwa watoto? au kwa sababu 99% ni wakirsto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi watu wanauwawa hawapigi kelele? Gaza?Mbona UKRAIN wanapiga kelele wakiuliwa watoto? au kwa sababu 99% ni wakirsto?
Wewe ndo unaanzisha mambo ya dini unategemea watu watafata nini kama sio kuendeleza ulichokianzisha.hujui ukirsto umeiangiaje? kaa hapa JF KAMA massa 3 halafu uone comments za wakiristo wenzio halafu utauliza hilo swala
Unaweza thibitisha madai yako ?Sasa kama Hamas kambi zao na mitandao yao yote ipo kwenye makazi ya watu inakuaje hapo?
Hamas sio wajinga ati, kama Hamas wangekua na kambi za jeshi maeneo nje ya raia au wanakwenda kwenye open space kupambana na IDF vita ingekwisha ndani ya wiki tu
Ndege zingemwaga mabomu kama mvua
Hamas wana bunduki na maroketi tu wakati IDF wana uwezo wa kupata silaha zote unazozijua duniani
YesUnaweza thibitisha madai yako ?
Karibu
Wazee wa kulia lia kupenda kuonewa Huruma nyie tusha wazoea mkipigwa mna kimbilia kwa wamama na watoto kuji fichahujui ukirsto umeiangiaje? kaa hapa JF KAMA massa 3 halafu uone comments za wakiristo wenzio halafu utauliza hilo swala
Kama nimekuelewa vzr ilitakiwa Israel asifanye ile operation ya ku rescue wale mateka sio? Au ilitakiwa afanye nn labda?UN walikaa chini na kuja na kanuni ya proportionality wakati wa Vita!
The principle of proportionality prohibits attacks against military objectives which are “expected to cause incidental loss of civilian life, injury to civilians, damage to civilian objects, or a combination thereof, which would be excessive in relation to the concrete and direct military advantage anticipated”. In other words, the principle of proportionality seeks to limit damage caused by military operations by requiring that the effects of the means and methods of warfare used must not be disproportionate to the military advantage sought.
Kwa mantiki hiyo,unashangaa Israel anapiga bomu anaua raia 100+ kisa alimlenga kamanda mmoja au wawili wa Hamas!
Israel anafanya rescue operation,anaokoa raia 4 huku akiua raia wengine 270+!
Hapo unaona kabisa Israel anachofanya ni collective punishment!
Ndio maana mahakama ya kimataifa imeona kuna viashiria vya Genocide huko Gaza!
The dramatic and audacious operation conducted on Saturday to rescue four Israeli hostages from the clutches of Hamas was lauded and celebrated across Israel, providing a rare moment of hope and good news for the country following eight months of grinding war and often depressing military campaign.Kama nimekuelewa vzr ilitakiwa Israel asifanye ile operation ya ku rescue wale mateka sio? Au ilitakiwa afanye nn labda?
Israel alitakiwa afanye nn kwenye wakati ambao intelligence inasema kuna mateka sehemu fulani kwenye makazi populated wakiwemo hamasi na wake zao na watoto wao?The dramatic and audacious operation conducted on Saturday to rescue four Israeli hostages from the clutches of Hamas was lauded and celebrated across Israel, providing a rare moment of hope and good news for the country following eight months of grinding war and often depressing military campaign.
However, the operation was also roundly condemned by numerous international parties due to the high number of Palestinian casualties.
ADVERTISEMENT
UN Secretary General Antonio Guterres expressed “condemnation” for what he claimed were the deaths of “hundreds of Palestinian civilians,” and EU foreign policy chief Josep Borrell described the events as “a bloodbath.”
Unverified claims by Hamas put the death toll at 274, though they did not distinguish between civilians and combatants. The IDF said it was aware of “under 100” Palestinian casualties, but provided no source for the estimate or breakdown between civilian and combatant deaths.
Hiyo kanuni ya UN si hamas wala Israel wataokuwa tayari kuifuata ndo maana hamas wameua raia wa nchi zingine na Tanzania ikiwemo ndo maana hamas wamebaka, ndo maana hamas imeua watu tena wanawake na vijana wakiwa festival badala ya kuharibu military instrastructure za israel,UN walikaa chini na kuja na kanuni ya proportionality wakati wa Vita!
The principle of proportionality prohibits attacks against military objectives which are “expected to cause incidental loss of civilian life, injury to civilians, damage to civilian objects, or a combination thereof, which would be excessive in relation to the concrete and direct military advantage anticipated”. In other words, the principle of proportionality seeks to limit damage caused by military operations by requiring that the effects of the means and methods of warfare used must not be disproportionate to the military advantage sought.
Kwa mantiki hiyo,unashangaa Israel anapiga bomu anaua raia 100+ kisa alimlenga kamanda mmoja au wawili wa Hamas!
Israel anafanya rescue operation,anaokoa raia 4 huku akiua raia wengine 270+!
Hapo unaona kabisa Israel anachofanya ni collective punishment!
Ndio maana mahakama ya kimataifa imeona kuna viashiria vya Genocide huko Gaza!
West tayari wameshakitambua kikundi cha Hamas kama cha kigaidi!Je,ni wakati wa West kuitambua IDF na serikali ya Israel kama kundi la kigaidi kwa kufanya yaleyale yaliyofanywa na Hamas?Hiyo kanuni ya UN si hamas wala Israel wataokuwa tayari kuifuata ndo maana hamas wameua raia wa nchi zingine na Tanzania ikiwemo ndo maana hamas wamebaka, ndo maana hamas imeua watu tena wanawake na vijana wakiwa festival badala ya kuharibu military instrastructure za israel,
Na kiongozi wa hamas gaza yahya sinwar anasema its okay vita viendelee na wapalestine wafe tu maana ni sadaka!
Sadaka!!!!!????Hiyo kanuni ya UN si hamas wala Israel wataokuwa tayari kuifuata ndo maana hamas wameua raia wa nchi zingine na Tanzania ikiwemo ndo maana hamas wamebaka, ndo maana hamas imeua watu tena wanawake na vijana wakiwa festival badala ya kuharibu military instrastructure za israel,
Na kiongozi wa hamas gaza yahya sinwar anasema its okay vita viendelee na wapalestine wafe tu maana ni sadaka!
Walitakiwa kuplan namna ya kuokoa mateka bila kuweka maisha ya raia rehani kiasi hicho!Israel alitakiwa afanye nn kwenye wakati ambao intelligence inasema kuna mateka sehemu fulani kwenye makazi populated wakiwemo hamasi na wake zao na watoto wao?
Hamas wanataka kuifuta israel kwa maana ya kuwaua wayahudi wote kabisa na wala hawafichi na ipo documented na wao wenyewe je israel nayo iwafute wapalestina?West tayari wameshakitambua kikundi cha Hamas kama cha kigaidi!Je,ni wakati wa West kuitambua IDF na serikali ya Israel kama kundi la kigaidi kwa kufanya yaleyale yaliyofanywa na Hamas?
Usiwe biased ukiwa unajenga hoja,angalia jambo kwa uhalisia wake ndio ufanye argument!
Umesema Israel na Hamas wote hawawezi kufuata sheria za vita!Ndio nimeuliza,kama Hamas ni magaidi,jeshi la Israel linakwepa vipi kuwamo kwenye kundi hilo?Au kunya anye kuku,akinya bata kaharisha?Hamas wanataka kuifuta israel kwa maana ya kuwaua wayahudi wote kabisa na wala hawafichi na ipo documented na wao wenyewe je israel nayo iwafute wapalestina?
Iran nayo ilishasema itaifuta israel isiwepo duniani.
Usiwe biased ukiwa unajenga hoja angalia jambo kwa uhalisia wake ndo ufanye argument!
Watajua wenyeweKuna watu wanataka/wanatamani vita kati ya Hamas/Hezbollah na Israel ipiganwe kiutu.
Sasa najiuliza vita gani ndani yake ina utu? Vita ni vita na bahati mbaya vita nyingi waathirika wakubwa huwa ni wananchi wa kawaida na siyo wanajeshi ambao hufundishwa kupigana vita.
Vita ni mbaya na kwa kawaida huwezi kuwa na utu wakati wa vita.
Kwa kuwa hamas walipobaka na kuua waliplan na wala hawakuweka maisha ya raia wa kigeni na kiyahudi reheni! wayahudi wanaamini katika jino kwa jino hivyo there is no way wauwawe tena kwa wingi then wao wapangiwe namna ya kudeal na muuwaji.Walitakiwa kuplan namna ya kuokoa mateka bila kuweka maisha ya raia rehani kiasi hicho!
Weeks of planning na kukusanya intelligence,bado imesababisha vifo vingi kiasi hicho kwa raia!
Ninachokiona ni Netanyahu alikosa uvumilivu maana pressure kwake ilikuwa kubwa hasa kutoka ndani!Akahitaji kitu cha kuwaonesha wananchi wake,akatoa kafara mamia ya roho za watu kwa ajili ya political gain,how selfish of him!
Waislam walivyo na roho mbaya,hakuna anayeweza kuunga Mkono mu Israel hata kwa Bahati mbaya.Komenti za wengine zinanihusu nini Mimi!?
Hivi haiwezekani kujadili jambo bila ya kujumuisha mawazo ya wengine!?
Bandiko hili nimeandika kwa kutumia mtizamo wangu na siyo kutokana na mawazo ya "wakristo wenzangu".
Mwalimu Nyerere alikuwa mkristo lakini aliwaunga mkono Palestina na kuwatimua nchini Israel.
Tundu Lissu ni mkristo lakini anawaunga mkono Palestina. Na naamini wapo pia waislam wanaowaunga mkono Israel.
Kwan mara ngapi wameitwa magaidi wauaji makafiri au we unataka lazima west ndo wawaite magaidi? na mpaka wakisema west ndo nafsi yako itasuuzika wasiposema nafsi inakuuma? Kwamba west wakisema ni sauti kubwa au?Umesema Israel na Hamas wote hawawezi kufuata sheria za vita!Ndio nimeuliza,kama Hamas ni magaidi,jeshi la Israel linakwepa vipi kuwamo kwenye kundi hilo?Au kunya anye kuku,akinya bata kaharisha?