Ili vita ya Hamas -Israel iwe ya kiutu inatakiwa iweje??

Ili vita ya Hamas -Israel iwe ya kiutu inatakiwa iweje??

Kwa kuwa hamas walipobaka na kuua waliplan na wala hawakuweka maisha ya raia wa kigeni na kiyahudi reheni! wayahudi wanaamini katika jino kwa jino hivyo there is no way wauwawe tena kwa wingi then wao wapangiwe namna ya kudeal na muuwaji.

Huku ndiyo kubaka watoto na wanawake siyo?Hamas waliwapiga wanajeshi na ushahidi nakuwekea hapo chini.
 
Attachments

  • Wadadbouchra_480x854_20240602_164016.mp4
    7.3 MB
Walitakiwa kuplan namna ya kuokoa mateka bila kuweka maisha ya raia rehani kiasi hicho!
Weeks of planning na kukusanya intelligence,bado imesababisha vifo vingi kiasi hicho kwa raia!
Ninachokiona ni Netanyahu alikosa uvumilivu maana pressure kwake ilikuwa kubwa hasa kutoka ndani!Akahitaji kitu cha kuwaonesha wananchi wake,akatoa kafara mamia ya roho za watu kwa ajili ya political gain,how selfish of him!
Hivi jamaa huwa anapata usingizi kweli ..naona siku hizi ni kama macho yameanza kuiva kama aavuta kurt
 
Nimewataja hao ili uone double standards zao wakati huo huo wanajifanya ndio nchi zinazopambania democracy!Democracy only when it suits them!
They called themselves civilized community of western value.
 
Alaa kwamba ni sawa tu wayahudi wauwawe ka kuku na wapalestina ila wao wakijipambania au wakiokoa mateka ni collective punishment!
Mbona hizi kelele za collective punishment hazikusemwa kwenye tukio la Oct 7 pale raia wa kigeni walipokuwa legitimate target?
Hamas walilaaniwa na Dunia kwa kitendo cha oct 7,lakini pia hata UN secretary alisema "The attack on oct 7th didnt happen in a vacuum"!Sijui unaelewa maana ya kauli hiyo!
 
Hamas walilaaniwa na Dunia kwa kitendo cha oct 7,lakini pia hata UN secretary alisema "The attack on oct 7th didnt happen in a vacuum"!Sijui unaelewa maana ya kauli hiyo!
We nawe kwa hiki ulichoandika ushajiona unauelewaaa mpaana 🤣 kwamba nyie pro palestine huwa mnadai palestinian walinyang'anywa ardhi yao (ambayo ni uwongo wa mchana kewupee) kwa hiyo hiyo inajustfy Oct 7😂
😆
Pro palestina kwa vibweka hamjambo
 
umeondoka kwenye hoja unaleta porojo!
 
Back
Top Bottom