Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Ni mchezo wa paka na panya wanacheza kati ya USA na Hamas,ili USA afanikishe anachokitaka.wakiristo mumesoma lakni akili mnazifisha miguuni mnapoona mambo ya waislam. Unaona miaka 20 sasa Hamas wamenyimwa misaada lakni wanapigana na Isreal hadi leo Marekani anawaangukia Hamas wakubali suluhu. sasa kama Hamas maiti mbona kunatumika mbinu Kubwa kutaka wafanye suluhu? Huoni chadema walivyodharauliwa na CCM hata hawashirikishwi? kwa sababu hawana chochote. wakitaka wataingia katika uchaguzi au hawataki basi. Lkn Hamas wanaombwa wasitishe vita. Ireal alichofanikiwa kuuwa watoto na wanwake