Ili vita ya Hamas -Israel iwe ya kiutu inatakiwa iweje??

hujui ukirsto umeiangiaje? kaa hapa JF KAMA massa 3 halafu uone comments za wakiristo wenzio halafu utauliza hilo swala
Wewe ndo unaanzisha mambo ya dini unategemea watu watafata nini kama sio kuendeleza ulichokianzisha.
 
Unaweza thibitisha madai yako ?
 
Kama nimekuelewa vzr ilitakiwa Israel asifanye ile operation ya ku rescue wale mateka sio? Au ilitakiwa afanye nn labda?
 
Kama nimekuelewa vzr ilitakiwa Israel asifanye ile operation ya ku rescue wale mateka sio? Au ilitakiwa afanye nn labda?
The dramatic and audacious operation conducted on Saturday to rescue four Israeli hostages from the clutches of Hamas was lauded and celebrated across Israel, providing a rare moment of hope and good news for the country following eight months of grinding war and often depressing military campaign.

However, the operation was also roundly condemned by numerous international parties due to the high number of Palestinian casualties.

ADVERTISEMENT
UN Secretary General Antonio Guterres expressed “condemnation” for what he claimed were the deaths of “hundreds of Palestinian civilians,” and EU foreign policy chief Josep Borrell described the events as “a bloodbath.”

Unverified claims by Hamas put the death toll at 274, though they did not distinguish between civilians and combatants. The IDF said it was aware of “under 100” Palestinian casualties, but provided no source for the estimate or breakdown between civilian and combatant deaths.
 
Israel alitakiwa afanye nn kwenye wakati ambao intelligence inasema kuna mateka sehemu fulani kwenye makazi populated wakiwemo hamasi na wake zao na watoto wao?
 
Hiyo kanuni ya UN si hamas wala Israel wataokuwa tayari kuifuata ndo maana hamas wameua raia wa nchi zingine na Tanzania ikiwemo ndo maana hamas wamebaka, ndo maana hamas imeua watu tena wanawake na vijana wakiwa festival badala ya kuharibu military instrastructure za israel,
Na kiongozi wa hamas gaza yahya sinwar anasema its okay vita viendelee na wapalestine wafe tu maana ni sadaka!
 
West tayari wameshakitambua kikundi cha Hamas kama cha kigaidi!Je,ni wakati wa West kuitambua IDF na serikali ya Israel kama kundi la kigaidi kwa kufanya yaleyale yaliyofanywa na Hamas?
Usiwe biased ukiwa unajenga hoja,angalia jambo kwa uhalisia wake ndio ufanye argument!
 
Sadaka!!!!!????
 
Israel alitakiwa afanye nn kwenye wakati ambao intelligence inasema kuna mateka sehemu fulani kwenye makazi populated wakiwemo hamasi na wake zao na watoto wao?
Walitakiwa kuplan namna ya kuokoa mateka bila kuweka maisha ya raia rehani kiasi hicho!
Weeks of planning na kukusanya intelligence,bado imesababisha vifo vingi kiasi hicho kwa raia!
Ninachokiona ni Netanyahu alikosa uvumilivu maana pressure kwake ilikuwa kubwa hasa kutoka ndani!Akahitaji kitu cha kuwaonesha wananchi wake,akatoa kafara mamia ya roho za watu kwa ajili ya political gain,how selfish of him!
 
Hamas wanataka kuifuta israel kwa maana ya kuwaua wayahudi wote kabisa na wala hawafichi na ipo documented na wao wenyewe je israel nayo iwafute wapalestina?
Iran nayo ilishasema itaifuta israel isiwepo duniani.
Usiwe biased ukiwa unajenga hoja angalia jambo kwa uhalisia wake ndo ufanye argument!
 
Umesema Israel na Hamas wote hawawezi kufuata sheria za vita!Ndio nimeuliza,kama Hamas ni magaidi,jeshi la Israel linakwepa vipi kuwamo kwenye kundi hilo?Au kunya anye kuku,akinya bata kaharisha?
 
Watajua wenyewe
Ya kwetu ni mazito pia
 
Kwa kuwa hamas walipobaka na kuua waliplan na wala hawakuweka maisha ya raia wa kigeni na kiyahudi reheni! wayahudi wanaamini katika jino kwa jino hivyo there is no way wauwawe tena kwa wingi then wao wapangiwe namna ya kudeal na muuwaji.
 
Waislam walivyo na roho mbaya,hakuna anayeweza kuunga Mkono mu Israel hata kwa Bahati mbaya.
Watu ambao walizaliwa tu wanaambiwa Muslims mwenzio ndio ndugu.
 
Umesema Israel na Hamas wote hawawezi kufuata sheria za vita!Ndio nimeuliza,kama Hamas ni magaidi,jeshi la Israel linakwepa vipi kuwamo kwenye kundi hilo?Au kunya anye kuku,akinya bata kaharisha?
Kwan mara ngapi wameitwa magaidi wauaji makafiri au we unataka lazima west ndo wawaite magaidi? na mpaka wakisema west ndo nafsi yako itasuuzika wasiposema nafsi inakuuma? Kwamba west wakisema ni sauti kubwa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…