Ili waolewe, Wanawake nchini Iran watakiwa kuwa na vyeti kuthibitisha kuwa mabikira

Ushoga ulianzia kwenye Jamii zilizokuwa na Sheria kali ikiwemo adhabu ya kifo kwa asiye bikira. Zilikuwepo Jamii mwanamke ni lazima aolewe bikira kama zawadi kwa mumewe siku ya Harusi yao,ikibainika si bikira binti adhabu yake ni kukatwa kidole kimoja cha mwisho na mwanaume kukatwa kichwa au kusalimika wote kwa adhabu hizo walilazimishwa kuoana.Wanawake walikubali walilazimika kwenda kinyume na maumbile Ili kulinda bikira zao. Hichi kitendo ndicho asili ya tabia ya ushoga kwa wanadamu.
 
Kwenye orodha ya ustaarabu wa nchi hii inatakiwa kuwa kule chini kabisa! Na kwenye orodha ya nchi zinazowanyanyasa wanawake inatakiwa kuwa kule juu kabisa.
 
Huu utaratibu uje na huku kwetu Buza
 
Huu ni uzuzu unaoutetea. Nyumban kwako au kwenu hua mnawapima ubikira dada zako au watoto wako wa kike. Na hufanyi ni kwa nini hufanyi.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Nisha toa jibu la msingi kabla naona unatumia mihemko tu hapa,kila nchi na jamii fulani zina tamaduni zake jamii yangu haina utamaduni wa kupima wanawake bikra hivyo siwezi ona jamii fulani ni zuzu kwa kuwa na tamaduni hiyo eti sababu kwetu hatufanyi hivyo hapana.
 
Oya umeanza lini kua mwanaume?
 
Hii ikija bongo watoto wa chini ya darasa la 4 wengi wanaweza kuibuka kidedea, huku wakiwagalagaza mademu 9O% kuanzia la 5 hadi walioko chuo.
 
Technically mtu anayepinga binti kulinda bikra yake hadi siku ya Ndoa ni wazi kwanza anazionyesha mbingu kidole cha kati, anasema shetani yupo sahihi kwa kushawishi uzinzi. Lakini zaidi anajaribu kutuambia kuwa umalaya, uasherati, uzinifu na ngono zembe ni njia sahihi ya kuishi.

Kwann upinge kitu kama hicho nyuma ya pazia una ajenda gani?!

Kizazi cha sasa m'mepotoka sana kiasi kwamba mpo tayari kutetea maovu na uasi wa MUNGU kuliko kutetea mema.
 
Sijui kama umesoma ulichokiandika. Yaani ni kama mtu ameulizwa kwann unaiba anajibu, " serikali iweke miundo mbinu mizuri ili kusiwe na foleni mjini". Sijui umeandika nini hebu soma tena halafu relate na topic uone umetoa hoja gani.
 
Ujinga mtupu,zitatengenezwa feki ilimradi mtu aolewe,kwanini tabia isiwe kigezo kikuu,mtu analazimisha damu zitoke hajui kuwa sio mabikra wote hutoka damu.
Au inaweza ikawa ni njia nzuri ya kuanza kuwapa mabinti na familia siku zijazo kuwa ni muhimu kulinda bikra yako maana ndipo utu wa mwanamke ulipo hapo.

Hawa waliotolewa wacha ipite ila sio wajao. Mabinti wengi wa sasa wanajitia mikosi kwa kulala na wanaume ambao hawatakuja kufanya nao maisha ya ndoa.

Utaniuliza swali, yeye atajuaje kuwa huyu ni mwanaume sahihi kwake?!

Jibu ni simple. Turejee mila na desturi. Kuna umuhimu wa kurejea taratibu za zamani ambapo ukimpenda binti unakwenda kuongea na wazee katika familia yako wakusaidie kuja kuposa binti katika familia yao. Badala ya kukutana vichochoroni, mnalianzisha, mnakulanaaaaaaa weeeeeee hadi na mimba mnatoa. Halafu mkichokana mnaachana, mchezo unaendelea kwa watu kama sita tofauti then ndipo binti anaamua kusema sasa niwe serious kuolewa.

Na kuolewa yenyewe anaenda kujiwekesha ujauzito halafu anafosi jamaa aoe. Haya sio maisha na sio mila zetu waafrika.


Ndio maana ndoa imekuwa changamoto sana miaka hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…