Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Mwanaume hana hicho kipimo. Na mwanaume anatakiwa kujizuia asione miili ya wanawake kwa wingi ili amuone mkewe kuwa bora zaidi.Wanaume nao wanapimwa ubikira?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume hana hicho kipimo. Na mwanaume anatakiwa kujizuia asione miili ya wanawake kwa wingi ili amuone mkewe kuwa bora zaidi.Wanaume nao wanapimwa ubikira?
Kuna dini inafundisha wanawake kuzini kabla ya Ndoa au ndio umeshazoea uovu hadi dhambi unaiona ni sifa ya kuishi nayo.Nchi za kihuni hizi!!
Utasikia nayo hayo ni mafundisho ya mtume!!
Hayo ni maoni yako. Kwahiyo maendeleo ni pamoja kuwa na mabinti wanaofanya ngono zembe nje ya mahusiano rasmi?! Umeshawahi jiuliza gharama za kijamii, kisiasa, kiuchumi za kuwa na mahusiano kiholela nje ya ndoa?!Kudai ubikira sana ni dalili ya jamii kuwa nyuma kimaendeleo.
Jamii karibu zote zinazosisistiza sana ubikira ziko nyuma kimaendeleo
Nenda marekani pale na uingereza katazame aina ya wanawake walio nao na tabia zao.Majuzi tu vyombo vya habari vilitangaza kwamba watoto 800 wa kike wenye umri wa miaka kati ya 8-13 wamegundulika kuwa na mimba mkoani Morogoro......!!!
Cha kushangaza ni kwamba wanaowatia mimba hao watoto ni wenzao wa kiume ambao ubikra wao haupimwi.
Tatizo kubwa la wanaume wa kiarabu ni kwamba wana wivu sana kuliko wanaume wa jamii yoyote duniani ndio chanzo cha wao kuwa na tabia za kuchunga wanawake kama ng'ombe [emoji202] na pia kudai eti mabinti wahifadhi ubikra hadi pale wanapoolewa.
Kwenye mataifa mengi ya kiislamu na hasa uarabuni mabinti wengi hufanya ngono kinyume na maumbile ili kulinda ubikra wao hadi pale anapokuja kuolewa na wengine hufanyiwa upasuaji ili kurejeshewa ubikra ndipo aolewe. Yaani tamaduni zingine ni shida sana ila mabinti wa kiafrika hili zoezi hawaliwezi na kama ni dini wako radhi kuachana nayo.
Wanaanza kuuziana mbuzi kwenye guniaNchini Iran, ubikira kabla ya ndoa ni muhimu kwa wasichana wengi na familia zao. Wakati mwingine wanaume hudai cheti cha ubikira, jambo ambalo Shirika la Afya Duniani (WHO) linaona ni kinyume na haki za binadamu.
"Ulinidanganya nikuoe kwa sababu wewe si bikra. Hakuna mtu ambaye angekuoa ikiwa angejua ukweli."
Hivi ndivyo mume wa Maryam alivyomwambia baada ya kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza.
Watu wagumu kuelewa, umeambiwa heshim tamaduni za wengine hata kama hukubaliani Nazo. Umepewa mfano hao wenye LBGTQ, mataifa mengi hayaungi mkono lakini wamewachia mambo Yao.Huu ni uzuzu unaoutetea. Nyumban kwako au kwenu hua mnawapima ubikira dada zako au watoto wako wa kike. Na hufanyi ni kwa nini hufanyi.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Uyo haamini uwepo wa "Mungu"Hayo ni maoni yako. Kwahiyo maendeleo ni pamoja kuwa na mabinti wanaofanya ngono zembe nje ya mahusiano rasmi?! Umeshawahi jiuliza gharama za kijamii, kisiasa, kiuchumi za kuwa na mahusiano kiholela nje ya ndoa?!
Tenga muda wa kujifunza jambo usimsaidie shetani kuimarisha makao yake hapa Duniani. Kama unaona ni halali acha kusali, acha kwenda nyumba za ibada.
Mbona makasiriko!!si wao kwani ni nchi yenu maskini ya Tanzania .Huu ni uzuzu unaoutetea. Nyumban kwako au kwenu hua mnawapima ubikira dada zako au watoto wako wa kike. Na hufanyi ni kwa nini hufanyi.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
HahahaWHO wote hawana bikra wanawaonea donge wanawake wa Iran
Nalog off Z
Kwa nini isiwe dini? Ni dini gani inayoruhusu kufanya ngono kabla ya ndoa?moja ya tamaduni za hovyo hasa ukikutana na mwanaume mpumbavu aliyeshikilia tamaduni kandamizi kwa jamii yake (wanawake).
wanaume tuna takiwa kuwa sehemu ya mabadiliko kwa uhalisia sio kwa kuimba kama wimbo alafu vitendo sifuri...
.......Hili kwangu ni swala la tamaduni sio dini... kama ni dini basi ni tatizo kubwa sana huko kwa wairan na waislam...
Watu wote wanaopinga hii mila hawana hoja za msingi.Hayo ni maoni yako. Kwahiyo maendeleo ni pamoja kuwa na mabinti wanaofanya ngono zembe nje ya mahusiano rasmi?! Umeshawahi jiuliza gharama za kijamii, kisiasa, kiuchumi za kuwa na mahusiano kiholela nje ya ndoa?!
Tenga muda wa kujifunza jambo usimsaidie shetani kuimarisha makao yake hapa Duniani. Kama unaona ni halali acha kusali, acha kwenda nyumba za ibada.
Big up sanaAu inaweza ikawa ni njia nzuri ya kuanza kuwapa mabinti na familia siku zijazo kuwa ni muhimu kulinda bikra yako maana ndipo utu wa mwanamke ulipo hapo.
Hawa waliotolewa wacha ipite ila sio wajao. Mabinti wengi wa sasa wanajitia mikosi kwa kulala na wanaume ambao hawatakuja kufanya nao maisha ya ndoa.
Utaniuliza swali, yeye atajuaje kuwa huyu ni mwanaume sahihi kwake?!
Jibu ni simple. Turejee mila na desturi. Kuna umuhimu wa kurejea taratibu za zamani ambapo ukimpenda binti unakwenda kuongea na wazee katika familia yako wakusaidie kuja kuposa binti katika familia yao. Badala ya kukutana vichochoroni, mnalianzisha, mnakulanaaaaaaa weeeeeee hadi na mimba mnatoa. Halafu mkichokana mnaachana, mchezo unaendelea kwa watu kama sita tofauti then ndipo binti anaamua kusema sasa niwe serious kuolewa.
Na kuolewa yenyewe anaenda kujiwekesha ujauzito halafu anafosi jamaa aoe. Haya sio maisha na sio mila zetu waafrika.
Ndio maana ndoa imekuwa changamoto sana miaka hii.
Dini hii inayo ruhusu kuua ni hatari kwa ustawi wa jamiiKwa nini isiwe dini? Ni dini gani inayoruhusu kufanya ngono kabla ya ndoa?
We jamaa umevurugwa..Dini hii inayo ruhusu kuua ni hatari kwa ustawi wa jamii
Namshangaa sana aisee. Anatetea upumbavu as if hajui madhara yake.Uyo haamini uwepo wa "Mungu"
Bila kuigusa Imani yake , je anafrahishwa na extreme, yangono kwa watoto wakike ambao hawajaolewa?
Haya ni matatizo ya kuzaa zaa hovyo nje ya ndoa. Watoto wanakuja kuwa watu wazima wapumbavu wasio na akili.Watu wote wanaopinga hii mila hawana hoja za msingi.
Inaonekana hiki ni kitu kizuri, bila kujali dini wala kabila.
Kwa haya maasi wacha waue tu aiseee. Nilikuwa simuelewi Osama now naelewa kwann alikuwa anawachukia US na akawa tayari kuwatoa kafara kibabe vile.Dini hii inayo ruhusu kuua ni hatari kwa ustawi wa jamii