Ili waolewe, Wanawake nchini Iran watakiwa kuwa na vyeti kuthibitisha kuwa mabikira

Kudai ubikira sana ni dalili ya jamii kuwa nyuma kimaendeleo.

Jamii karibu zote zinazosisistiza sana ubikira ziko nyuma kimaendeleo
Hayo ni maoni yako. Kwahiyo maendeleo ni pamoja kuwa na mabinti wanaofanya ngono zembe nje ya mahusiano rasmi?! Umeshawahi jiuliza gharama za kijamii, kisiasa, kiuchumi za kuwa na mahusiano kiholela nje ya ndoa?!

Tenga muda wa kujifunza jambo usimsaidie shetani kuimarisha makao yake hapa Duniani. Kama unaona ni halali acha kusali, acha kwenda nyumba za ibada.
 
Nenda marekani pale na uingereza katazame aina ya wanawake walio nao na tabia zao.

Hapa Tanzania unaona sasa tunachangomoto ya mabinti kugeuza miili mtaji wa biashara, kuzaa hovyo nje ya ndoa, kuzaa na wanaume tofauti, maambukizi ya magonjwa ya zinaa miaka hii yamekuwa juu kuliko wakati wowote kwenye jamii.

Haya yote ni matokeo ya kutofuata misingi ikiwamo kuzingatia kutunza mwili hadi Ndoa ifungwe lakini pia kuheshimu maagizo ya kiimani na kimila ya kutoingiliwa kimwili hadi pale mume halali atakapomchumbia binti na kiolewa.

Hao wanaume wangepata wapi watu wa kuchezea kama wanawake wangekuwa wanajitunza hadi Ndoa.

Usije ukaleta issues za kubakana maana nitakuuliza unatamwimu ngapi za ubakaji kwamba kwa siku kati ya mabinti 100 basi 80 hubakwa?!
 
Wanaanza kuuziana mbuzi kwenye gunia
 
Huu ni uzuzu unaoutetea. Nyumban kwako au kwenu hua mnawapima ubikira dada zako au watoto wako wa kike. Na hufanyi ni kwa nini hufanyi.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Watu wagumu kuelewa, umeambiwa heshim tamaduni za wengine hata kama hukubaliani Nazo. Umepewa mfano hao wenye LBGTQ, mataifa mengi hayaungi mkono lakini wamewachia mambo Yao.
 
Uyo haamini uwepo wa "Mungu"
Bila kuigusa Imani yake , je anafrahishwa na extreme, yangono kwa watoto wakike ambao hawajaolewa?
 
Wazungu wanasema stay virgin for a polygamist 😀😀😀
Wanawake hawana jinsi hawajakatazwa kufanya ila muoaji akitaka cheti cha ubk huna imetokaa hiyo kwahio wachague kusuka au kunyoa 😀😀😀
 
Kwa nini isiwe dini? Ni dini gani inayoruhusu kufanya ngono kabla ya ndoa?
 
Watu wote wanaopinga hii mila hawana hoja za msingi.

Inaonekana hiki ni kitu kizuri, bila kujali dini wala kabila.
 
Big up sana
 
Uyo haamini uwepo wa "Mungu"
Bila kuigusa Imani yake , je anafrahishwa na extreme, yangono kwa watoto wakike ambao hawajaolewa?
Namshangaa sana aisee. Anatetea upumbavu as if hajui madhara yake.
 
Watu wote wanaopinga hii mila hawana hoja za msingi.

Inaonekana hiki ni kitu kizuri, bila kujali dini wala kabila.
Haya ni matatizo ya kuzaa zaa hovyo nje ya ndoa. Watoto wanakuja kuwa watu wazima wapumbavu wasio na akili.

Sasa hawa ukiwachunguza utagundua ni vijana kutoka katIka familia za wazazi waliotengana au wazazi ambao walizaa nje ya ndoa na hawakuwahi ishi kama familia.

Matoto yao huwa yanakuwa na akili za ajabu ajabu sana kama hizi. Kweli kuna haja ya kuzishika zile sheria za amri kumi za MUNGU.
 
Dini hii inayo ruhusu kuua ni hatari kwa ustawi wa jamii
Kwa haya maasi wacha waue tu aiseee. Nilikuwa simuelewi Osama now naelewa kwann alikuwa anawachukia US na akawa tayari kuwatoa kafara kibabe vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…