Ili waolewe, Wanawake nchini Iran watakiwa kuwa na vyeti kuthibitisha kuwa mabikira


Ije na huku bongo
 
Kwa haya maasi wacha waue tu aiseee. Nilikuwa simuelewi Osama now naelewa kwann alikuwa anawachukia US na akawa tayari kuwatoa kafara kibabe vile.
Kwenye kuua hapo hapana, kama kilichotokea kwa Rushdie, ni moja ya mapungufu makubwa katika uislamu.
 
Kuoa mwanamke bikra ina raha yake sana unakuwa umejiepusha na mambo mengi sana.
 
Unashangaa Iran,nenda Uzbekistan,uturuki n.k huko mtu mwingine anafikisha hadi miaka 40 bikra kisa hakuoa/hakuolewa,,,sio wote wanafata umagharib watu hawataki kuzini!!!
 
Namshangaa sana aisee. Anatetea upumbavu as if hajui madhara yake.
Tatizo letu tunaishi kwenye ulimwengu ambao unaangalia madhaifu ya wanawake tu na umehalalishwa katka jamii zet zote. Kwenye swala la ngono wanaumme ndo tunaongoza kwa kufanya ngono bila kujali unafanya na nan na na kwa kiwango Cha 5G. Lakn jamii ilishahalalisha Hilo na halina shida..

Lakn wakifanya wa kike ni kosa la jinai. Na sheria inadili na waliotolewa bikra ila waliowatoa bikra sheria haiwahisu. Na bahati mbaya wanaowatoa bikra ndo hao hao wanawahukumu waliotolewa bikra..

Swali fikirishi wanaumme tukiacha kufungua zipu zetu mabikira si watakuwepo wengi sana. Na kama hatuwezi kujizuia kufungua zipu zetu mbona tunawahukumu waliotolewa bikra ili hali sisi ndo timewatoa bikra zao.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Jingine kwenye hili ambalo ni ukweli mchungu wa wanaotetea hili. Nani hapa jukwaan atakubali tuanzishe kuwapima dada zetu wa tumbo Moja na watoto wetu wa kike wa kuwazaa kuwa ni mabikira...

Jamii tunayoishi nayo itakuchukuliaje kama baba wa watoto wao na kaka wa wadada. Itakua rahisi hivyo kuingilia privacy ya mtu kiasi hicho

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume hana hicho kipimo. Na mwanaume anatakiwa kujizuia asione miili ya wanawake kwa wingi ili amuone mkewe kuwa bora zaidi.
Kipimo kinachompima mwanamke tu bila kumpima mwanamme hakina uwiano na ni cha kibaguzi.
 
Kwanza kabisa, jua kusoma kw aufahamu.

Kusema kwamba kuendekeza sana kupima bikira ni dalili ya jamii kukosa maendeleo haina maana kwamba maendeleo ni pamoja na kuwa na mabinti wanaofanya ngono zembe nje ya mahusiano rasmi.

Huko Afghanistan wanakojifanya wanapima sana bikira watoto wa kike wanaongoza kwa kufira watoto wadogo wa kiume.

Nakwambia hivi, ukiangalia jamii zinazoendekeza mambo ya kupima bikira kwa watoto wa kike na jamii ambazo hajijajali sana habari hizo, utakuta kwamba jamii zinazoendekeza mambo hayo, kama hao Wataliban wa Afghanstan, au Wasomali ni jamii ambazo hazina maendeleo, zinaendekeza ujinga. Huwezi kuzilinganisha na jamii kama Norway na Finland ambako hawajali sana kupima watoto wa kike bikira.

This is a fact.
 
Ukweli ulio mchungu.
Baadaye huwa inauma Sana Kwa wanaume kuoa mwanamke asiye bikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…