Ili Yanga Game ya Mwisho Ashinde Goli 3 Na Mc Alger

Hashindi hata kwa mbeleko ya refa
Endelea kuota shida kubwa tunaongozwa na hisia za ushabiki wa Simba na Yanga tunasahau kuupa heshima mpira yaani mechi haijachezwa ila tayari tuna matokeo๐Ÿคฃ
 
Hujui chochote we mbwiga. Ushindi wa goli 1 tu linatosha,halihitaji calculator.Hizo calculator mtabaki nazo makolo wazee wa kulialia kutafuta YANGA kapitataje.
 
Endelea kuota shida kubwa tunaongozwa na hisia za ushabiki wa Simba na Yanga tunasahau kuupa heshima mpira yaani mechi haijachezwa ila tayari tuna matokeo๐Ÿคฃ
Umeongea kweli Mkuu tulio wengi mechi tunazicheza na kuzitolea maamuzi kiushabiki na si vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ