Ili Yanga Game ya Mwisho Ashinde Goli 3 Na Mc Alger

Ili Yanga Game ya Mwisho Ashinde Goli 3 Na Mc Alger

Hujui chochote we mbwiga. Ushindi wa goli 1 tu linatosha,halihitaji calculator.Hizo calculator mtabaki nazo makolo wazee wa kulialia kutafuta YANGA kapitataje.
 
Endelea kuota shida kubwa tunaongozwa na hisia za ushabiki wa Simba na Yanga tunasahau kuupa heshima mpira yaani mechi haijachezwa ila tayari tuna matokeo🤣
Umeongea kweli Mkuu tulio wengi mechi tunazicheza na kuzitolea maamuzi kiushabiki na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom