MABATI YA SUNBAK TANZANIA
JF-Expert Member
- Jan 10, 2025
- 217
- 577
Elimu ya Tanzania imechezewa Sana wakuu
Baba yake alikuwa Rais, alipeleka maelekezoElimu ya Tanzania imechezewa Sana wakuu
View attachment 3320102
Sasa mkuu umefatilia kama ali reseat huku akisoma form v?Elimu ya Tanzania imechezewa Sana wakuu
View attachment 3320102
Ali resit
Kuna shida gani
Kwan alikua hana vgezo vya kuanza certfcate na kuendelea dploma mpka kufika degree??
JF ilikuwa ya 2015 kurudi nyuma. Hii ya sasa ni mwendo wa censorship tu.
A level tangu zamani unabid kupata wastani wa C tatuIV ya 30 hawezi kwenda A-level?(Kwa kipindi hicho 2010s)
Unaweza shangaa akawa mbunge wa viti maalum alafu bunge lijalo akawa Naibu Waziri na baadae full Waziri wa Elimu. Alafu mtegemee kuzalisha Vijana wanaoweza ku compete kwenye masoko ya kimataifa ya ajira??? ThubutuElimu ya Tanzania imechezewa Sana wakuu
View attachment 3320102