Ilikuaje Jesca Magufuli aliyepata four ya 30 mwaka 2011 st Mathew akaruhusiwa kusoma Degree mwaka 2014?

Ilikuaje Jesca Magufuli aliyepata four ya 30 mwaka 2011 st Mathew akaruhusiwa kusoma Degree mwaka 2014?

Umesema 2011 kamaliza na 2014 kaenda degree..hapo kuna miaka 3 kama aliresete na kwenda advance si inawesekana mkuu?.

Swali hapa labda atuambie je baada ya hayo matokeo alipita wapi kwenda degree
 
Mambo kama haya ndio wafuasi wa upinzani wanayaweza, kutumia nguvu nyingi kuiandama familia ya marehemu kama sehemu ya kujipa relief ya trauma waliochiwa....!!

Wakati huo ajenda kama no reform no election nguvu inayotumika kuisukuma ni kidogo sana.

Hakika nyie acha tu ccm iendelee kuwapa kesi za uhaini.
 
Baba yake alikuwa Rais, alipeleka maelekezo
Baba yake alikuwa Rais 2014?.Hivi huu ujinga wenu hauna mipaka?.Halafu mnaungana mkono utafikiri nyumbu wakitoka Serengeti kwenda Masai Mara. Akivuka wa kwanza wengine wanafuata tu mkumbo.
 
Baba yake alikuwa Rais 2014?.Hivi huu ujinga wenu hauna mipaka?.Halafu mnaungana mkono utafikiri nyumbu wakitoka Serengeti kwenda Masai Mara. Akivuka wa kwanza wengine wanafuata tu mkumbo.
Fuatilia utagundua kuwa mwaka 2016 aliwafuta wanafunzi waliokwenda na elimu ya F4 kusoma degree na teaching kwenye special programme ya UDOM, lakini binti yake Jesca akabaki
 
Jamani mbona mumemkomalia sana huyu mtoto? Hayo matokeo aliyonayo DDDC FFF kwa vyuo vyetu atashindwa kujiunga kozi yoyote ya diploma? Diploma za arts zote ni miaka 2 kabla ya 2017...afu 2014 ukaanza degree...utashindwa kumaliza 2017? Ukiunga masters huo mwaka utashindwa kumaliza 2019?....mbona sio mtanzania wa kwanza?.....hata babaake mbona alisoma kwa njia hii?.....ndalichako alipofuta zile diploma za UDOM ulifikiri ni kitu gani kile??.....
Unaruka diploma bila certificate ..?
 
Eti na wewe ni Wakili na unauzoefu wa miaka 20!! Wewe ni mbumbumbu kuliko mbumbumbu wote duniani. Unafikiri Waziri ndio mtaalam wa Wizara!! Waziri ni msimamia sera tu, wataalam wa wizara ni Katibu Mkuu na Wakurugenzi, be informed wewe kilaza wa sheria.
Sasa unasimamia sera ambazo huna uelewa nazo?

Kwamba wewe ni waziri wa katiba na sheria lakini taaluma yako umesomea kilimo, hapo si utakuwa unaingizwa chaka kila siku na wataalam wa sheria?

Ni muhimu mtu kuwa waziri wa wizara ambayo ana taaluma nayo ili kuepuka kudanganywa kila mara maana huna taaluma husika.

Ndiyo maana unakuta waziri anaongea mashudu kumbe sio kosa lake bali hana taaluma ya wizara husika anayosimamia analishwa matango pori naye anayatema mazina mazina without reasoning.
 
Back
Top Bottom