Ilikuaje Jesca Magufuli aliyepata four ya 30 mwaka 2011 st Mathew akaruhusiwa kusoma Degree mwaka 2014?

Ilikuaje Jesca Magufuli aliyepata four ya 30 mwaka 2011 st Mathew akaruhusiwa kusoma Degree mwaka 2014?

Samahani wewe uliyepata one upo wapi sasa hivi?? Mwenzako alipata four baadaye akaja kuwa amiri jeshi mkuu! Wewe endelea kung'ang'ania division! Nani alikudanganya kupata one unakuwa na akili???Kwa hii elimu ya Tanzania????????????


Tatizo mashindano ya darasani mnaleta mpaka mtaani halafu unakuta wale vilaza wanatusua unaanza kuona wivu, yaani unaona kama hawastahili vile kuwa na maisha mazuri!
Jesca alishakuwa Amiri jeshi mkuu?
 
Duh jesca alikuwa darasani chenga sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaweza shangaa akawa mbunge wa viti maalum alafu bunge lijalo akawa Naibu Waziri na baadae full Waziri wa Elimu. Alafu mtegemee kuzalisha Vijana wanaoweza ku compete kwenye masoko ya kimataifa ya ajira??? Thubutu

Ccm wametuulia hili Taifa tukiwa tunaona live kabisa.
Eti na wewe ni Wakili na unauzoefu wa miaka 20!! Wewe ni mbumbumbu kuliko mbumbumbu wote duniani. Unafikiri Waziri ndio mtaalam wa Wizara!! Waziri ni msimamia sera tu, wataalam wa wizara ni Katibu Mkuu na Wakurugenzi, be informed wewe kilaza wa sheria.
 
Usifikiri kufeli darasani ndio kufeli maisha!
Yes that's very true ila watoto wasome shule wafaulu kuna relation kubwa kati ya kufaulu darasani na kufaulu maisha, uwezekano wa mtu aliefaulu darasan kufaulu kwenye maisha ni mkubwa kuliko jitu lililofeli?... Unaona hii platform tunayotumia kuambiana hizi habari ? Imetengenezwa na mtu aliesoma shule, huwezi kuandika code za php, html na JavaScript kama haujasoma. Mkuu unataka kuibeza shule sababu ya wapuuz wawili watatu walofeli shule ila wakafaulu maisha ?...Tunalekea wapi wazee? Alafu watu wa ccm mlivyo kesho utakuja kumsifia majaliwa alivyosema watu warudi shule (VETA), lakin hapa shule unataka kuiponda kabisa kwanini mkuu ?...
 
Back
Top Bottom