TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Hata kama ndio anusurike kudivu?Samahani wewe uliyepata one upo wapi sasa hivi?? Mwenzako alipata four baadaye akaja kuwa amiri jeshi mkuu! Wewe endelea kung'ang'ania division! Nani alikudanganya kupata one unakuwa na akili???Kwa hii elimu ya Tanzania????????????
Tatizo mashindano ya darasani mnaleta mpaka mtaani halafu unakuta wale vilaza wanatusua unaanza kuona wivu, yaani unaona kama hawastahili vile kuwa na maisha mazuri!