Ilikuaje Jesca Magufuli aliyepata four ya 30 mwaka 2011 st Mathew akaruhusiwa kusoma Degree mwaka 2014?

Ilikuaje Jesca Magufuli aliyepata four ya 30 mwaka 2011 st Mathew akaruhusiwa kusoma Degree mwaka 2014?

Kuna waliokua na C mbili na D moja mkuu na wakasoma hasa private niamini mimi..Mimi ni mkongwe ujue
Hauwezi kufanya mtihani wa form six ikiwa hauna C tatu hii tangia kutambo labda 99 kurudi nyuma Ila kuanzia 2000 ilikuwa HV utofuti ulikuwa ktk marks tu
 
Back
Top Bottom