Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,964
- 11,078
Umesahau Classmate 😅R.i.P John...😥
Umesahau Classmate 😅R.i.P John...😥
HowSasa mkuu umefatilia kama ali reseat huku akisoma form v?
DuuhTaka kugombea CCM tujue uchafu wako
Samahani wewe uliyepata one upo wapi sasa hivi?? Mwenzako alipata four baadaye akaja kuwa amiri jeshi mkuu! Wewe endelea kung'ang'ania division! Nani alikudanganya kupata one unakuwa na akili???Kwa hii elimu ya Tanzania????????????majibu tafadhari
NdiyoSasa mkuu umefatilia kama ali reseat huku akisoma form v?
Kwahiyo hayo matokeo angrisiti angepata credit?Ndiyo
Kwani hujui kama Private Candidate anaweza soma Advance, huku anatafuta Credit form 4!?
Namba a.k.a hesabu zinakataaAli resit
Kuna shida gani
Ndio maana mnaibiwa madini yenu kwa akili hii!Una uhakika gani kama ndio yeye huyo mkuu?...Usitake kusema kwamba Jesca John Magufuli yupo mmoja tu after all hujui kama ni kweli alisoma hiyo shule.
Wewe wanleo mitandaoni acha wajongwe waje kudadaviaUna uhakika gani kama ndio yeye huyo mkuu?...Usitake kusema kwamba Jesca John Magufuli yupo mmoja tu after all hujui kama ni kweli alisoma hiyo shule.
Yaani ilibaki kidogo atageElimu ya Tanzania imechezewa Sana wakuu
View attachment 3320102
NdiyoKwahiyo hayo matokeo angrisiti angepata credit?
Kwahiyo huyo ni nani kama si yeyeyUna uhakika gani kama ndio yeye huyo mkuu?...Usitake kusema kwamba Jesca John Magufuli yupo mmoja tu after all hujui kama ni kweli alisoma hiyo shule.
Mziki wa kurisiti unaujua wwNdiyo
2014 Magufuli alikuwa rais?Baba yake alikuwa Rais, alipeleka maelekezo