kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
Kayatimba
Namba gani inakataa ?Namba a.k.a hesabu zinakataa
Hesabu za Miaka/mudaNamba gani inakataa ?
Hazina shidaHesabu za Miaka/muda
Astaghafillulah!Yaani mpaka Kiswahili alijipigia F!
Kweli Tanzania ni jalalaElimu ya Tanzania imechezewa Sana wakuu
View attachment 3320102
Umetumia neno moja nililisikia zamani sana; "wanaomsengenya"Tunainvolve hisia kuliko akili. Watu wengi wanaomsengenya huyo binti wanachuki na Magufuli.
Unashangaa nini iwapo baba yake naye 'alipata' PhD! Mbona wapo wengi akina mtukufu maza, Biteko, Msukuma, Mwigulu, Jaffo, Kikwekwe, Karumekenge, na wengine wengi? Kwa Danganyika, hakuna lisilowezekana hasa pale maprof wa kweli kama Kabudii wanapogeuka machawa untegemeani?Elimu ya Tanzania imechezewa Sana wakuu
View attachment 3320102
Jitoe ufahamuEndeleeni tu na upumbavu wenu.
Mbona yako huyaelezi humu?Elimu ya Tanzania imechezewa Sana wakuu
View attachment 3320102
Mm sijamtetea mkuu embu na ww thibitisha kama kweli huyo mwenye hayo matokeo ndio yeye.Tuonyeshe huyo mwingine.
Halafu tuonyeshe matokeo halisi ya form 4 ya huyu unayemtetea
Nyamaza mjinga weweUna uhakika gani kama ndio yeye huyo mkuu?...Usitake kusema kwamba Jesca John Magufuli yupo mmoja tu after all hujui kama ni kweli alisoma hiyo shule.
Acha wivu kiazi wewe mlaumu baba yako kwann aliamua kuchagua kuwa wa kawaida.Nyamaza mjinga wewe
hiyo miaka kutoka 2011 maka 2014 alikuwa anajiendeleza wakati huo wewe unacheza michezo ya kombolela mwenzio anahangaika kuitafuta elimu na akaipata sasa unaanza wivu wako wa kike acha mwenzio ale matunda ya kazi yakeElimu ya Tanzania imechezewa Sana wakuu
View attachment 3320102
😀😀Kwahiyo hayo matokeo angrisiti angepata credit?
Uongohiyo miaka kutoka 2011 maka 2014 alikuwa anajiendeleza wakati huo wewe unacheza michezo ya kombolela mwenzio anahangaika kuitafuta elimu na akaipata sasa unaanza wivu wako wa kike acha mwenzio ale matunda ya kazi yake