Ilikuwa hivi hivi baada ya Yanga kutoka kwa Rivers United

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kilichomkuta Simba, alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele. Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba Simba atamfunga Yanga? Nasemwa hivi Simba kwa sasa haiwezi na haitoweza kuifunga Yanga

Simba kichapo kiko pale pale, pigeni propaganda ila ikifika Jumapili msianze visingizio vya Matola sijui Mgunda kakosea kupanga timu! Simba bado ni mbovu mbovu hasa kwa Yanga!

Nimekaa pale.😀😀
 
Bahati mbaya kwenu ni kuwa hii mechi hachezeshi Arajiga wala Kayoko. Atachezesha yule mwanamama asiyehongeka.
Ni kweli Barbara ndie atakaye chezesha, Inamaana Miaka yote Simba anavyofungwa na Yanga inakua Sababu ya hongo!! Kama mpaka Sasa hamuamini Yanga amewazidi kwenye ubora uwanjani, mtaendelea kufungwa Kwa muda mrefu mpaka mtakapoa jitambua.
 
Na ndiyo lengo lenu kuu la usajili. Mkishalambwa 4 tena itakuwa mwisho wa nyodo.
 
Nazidi kuwahurumia utopolo, hiyo siku kama ikitokea mkafungwa na Simba ndio mtazimia kuanzia kwa Mkapa mpaka majumbani kwenu, naamini huku kujiamini kwenu kupitiliza kwa jambo msilo na uhakika nalo, ni moja ya dalili za yale matatizo ya akili tuliyoambiwa yanazidi kuongezeka Tanzania.
 
Kilichomkuta simba alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele

Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba simba atamfunga yanga?

Nasemwa hivi simba kwa Sasa haiwezi na haitoweza kuifunga yanga

Simba kichapo kiko pale pale pigeni propaganda Ila ikifika jumapili msianze visingizio vya Matola sijui Mgunda kakosea kupanga timu!!

Simba bado ni mbovu mbovu hasa kwa yanga!!!

Nimekaa pale😀😀
Hii game ya tar 23 simba anaitak na yanga anaitak ss na me nipo paleee
 
Nazidi kuwahurumia utopolo, hiyo siku kama ikitokea mkafungwa na Simba ndio mtazimia kuanzia kwa Mkapa mpaka majumbani kwenu, naamini huku kujiamini kwenu kupitiliza kwa jambo msilo na uhakika nalo, ni moja ya dalili za yale matatizo ya akili tuliyoambiwa yanazidi kuongezeka Tanzania.
Naona wanaweweseka mnoo,sijui wamepatwa na nini
 
Zolan Marck alifanya sub iliyowapa nafuu mkapata ushindi mechi iliyopita.

mfungaji wenu mkuu Mayele hakuwai kufunga kwenye Daby yoyote ile aliyocheza Onyango.
Simba kocha wa sasa ni Mgunda anawajua nje ndani safu ya ulinzi Ochieng atakuwepo,safu ya ushambuliaji General Phiri atakuwepo mtapigwa 3-0 nipo nimekaa pale kwa mzee mpii[emoji117] [emoji60].

[emoji350] [emoji118]hiki kispika cha Ahmed Ally kitakua shahidi.
 
hawa makosa ya zolan yamewafanya kuwa jeuri sana, kwa kujiamini huku huenda siku hiyo wakajitia kitanzi. hizi siku zilizobaki polisi wazuie manunuzi ya kamba aina yeyote hadi tarehe 23 ikipita.
 
Makosa ya Zolan ni makubwa.

Oatara alimpa sifa mtikisa Manyonyo bila sababu,beki ni mzito kama kontena la zege.

ngoja uone Onyango atakavyopiga kufuli ya mjerumani.alafu General Phiri atakavyotupia goli mbili,Chama moja.
off target za Okrah na Sakho zitaifanya Simba kukosa kosa kumpiga sita Utopolo siku iyo ya j'pili.
 
Makosa ya Zolan ni makubwa.
Oatara alimpa sifa mtikisa Manyonyo bila sababu,beki ni mzito kama kontena la zege.
ngoja uone Onyango atakavyopiga kufuli ya mjerumani.alafu General Phiri atakavyotupia goli mbili,Chama moja.
off target za Okrah na Sakho zitaifanya sifa kukosa kosa kumpiga sita Utopolo siku iyo ya j'pili.
mimi nafurahi sana imani waliyonayo maana baada ya hapo maumivu yao ndio itakuwa furaha yangu.

kama mgunda akiwa na sopu aliwadhibiti kule arusha ndio wajitambie na simba hii?.
 
Sisi tuko kimataifa, huku kwenye ligi mkijitahidi ni draw nasi
 
Simba hawana Timu ya kumfunga Yanga ngoja tusubiri mimi mechi naona ngumu kwao ni za hao wageni hawa wakina Onyango mwili unakataa kukimbia wawazuie wale vijana hakuna kitu kama hicho mkijitahidi sana mmepata sare..
 
Kilichomkuta simba alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele

Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba simba atamfunga yanga?

Nasemwa hivi simba kwa Sasa haiwezi na haitoweza kuifunga yanga

Simba kichapo kiko pale pale pigeni propaganda Ila ikifika jumapili msianze visingizio vya Matola sijui Mgunda kakosea kupanga timu!!

Simba bado ni mbovu mbovu hasa kwa yanga!!!

Nimekaa pale😀😀
Ushabiki wa namna hii mbaya hata kwa afya yako. Suppose it becomes the opposite brother, dont prepare stressors for yourself ndg yangu. Binafsi ni shabiki wa Simba, ila naheshimu kila tImu. Yanga inapocheza kimataifa, huwa natamani ifunge na ishinde (ni ukweli kabisa).

Anyway, anything may happen, tusubiri
 
Wana simbaaaaa
Screenshot_20221019-195700_Instagram.jpg
 
mimi nafurahi sana imani waliyonayo maana baada ya hapo maumivu yao ndio itakuwa furaha yangu.

kama mgunda akiwa na sopu aliwadhibiti kule arusha ndio wajitambie na simba hii?.
Sopu mmoja aliwatoa kinyesi,leo hii Simba kuna kina Sopu kama saba hivi,we kazi wanayo jpili.
 
Back
Top Bottom