Ilikuwa hivi hivi baada ya Yanga kutoka kwa Rivers United

Kilichomkuta simba alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele

Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba simba atamfunga yanga?

Nasemwa hivi simba kwa Sasa haiwezi na haitoweza kuifunga yanga

Simba kichapo kiko pale pale pigeni propaganda Ila ikifika jumapili msianze visingizio vya Matola sijui Mgunda kakosea kupanga timu!!

Simba bado ni mbovu mbovu hasa kwa yanga!!!

Nimekaa pale[emoji3][emoji3]
Usiishi kwa mazoea
 
Ni kweli Barbara ndie atakaye chezesha, Inamaana Miaka yote Simba anavyofungwa na Yanga inakua Sababu ya hongo!! Kama mpaka Sasa hamuamini Yanga amewazidi kwenye ubora uwanjani, mtaendelea kufungwa Kwa muda mrefu mpaka mtakapoa jitambua.
Hivi yanga hajawahi fungwa na simba eti ?
 
Kwa timu ipi hiyo ambayo Simba isiweze kuifunga??? Mnachekesha sana hyo derby ya ngao si mlifungwa kimoko cha mapemaa cha Sakho au lile lilikua lango la kuzimu mpira ulipopenyea? Mlifungwa kwanza ndo huyo mtetema wenu akarudisha sijui walimloga siku ile Inonga? Sasa timu inayoweza kuifunga Alhaily ya Misri ndo mje mtutishe na hiko ki kitimu chenu chenye bendi ya kikongo kweli? Yani mnajipa ujinga kulishana utopolo eti simba haina timu ya kuifunga Yan'gaaa...kama kitimu kimefungwa na alhilal nacho ni kitimu,kikundi cha tarumbeta hiko?
 
Achana nao hao wa " Hapa hapa FC".ndiyo malengo yao hao.
 
Kilichomkuta Simba, alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele. Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba Simba atamfunga Yanga? Nasemwa hivi Simba kwa sasa haiwezi na haitoweza kuifunga Yanga

Simba kichapo kiko pale pale, pigeni propaganda ila ikifika Jumapili msianze visingizio vya Matola sijui Mgunda kakosea kupanga timu! Simba bado ni mbovu mbovu hasa kwa Yanga!

Nimekaa pale.[emoji3][emoji3]
giphy.gif
 
mpira hautabiriki
 
Ni kweli Barbara ndie atakaye chezesha, Inamaana Miaka yote Simba anavyofungwa na Yanga inakua Sababu ya hongo!! Kama mpaka Sasa hamuamini Yanga amewazidi kwenye ubora uwanjani, mtaendelea kufungwa Kwa muda mrefu mpaka mtakapoa jitambua.
Utopolo bila kuhonga waamuzi,na mbinu nyingine kama za kuumiza wachezaji kabla ya mechi,hawana lolote
 
MAMA SAMIA NI WAKATI WA KUITANGAZA YANGA NI ADUI WA TAIFA[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Kilichomkuta Simba, alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele. Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba Simba atamfunga Yanga? Nasemwa hivi Simba kwa sasa haiwezi na haitoweza kuifunga Yanga

Simba kichapo kiko pale pale, pigeni propaganda ila ikifika Jumapili msianze visingizio vya Matola sijui Mgunda kakosea kupanga timu! Simba bado ni mbovu mbovu hasa kwa Yanga!

Nimekaa pale.😀😀
Ni aibu hii thread imeanzishwa na mwanayanga mwenzangu. Sisi mafanikio yetu ni kumfunga Simba?😳😳😳😳
 
Zolan Marck alifanya sub iliyowapa nafuu mkapata ushindi mechi iliyopita.

mfungaji wenu mkuu Mayele hakuwai kufunga kwenye Daby yoyote ile aliyocheza Onyango.
Simba kocha wa sasa ni Mgunda anawajua nje ndani safu ya ulinzi Ochieng atakuwepo,safu ya ushambuliaji General Phiri atakuwepo mtapigwa 3-0 nipo nimekaa pale kwa mzee mpii[emoji117] [emoji60].

[emoji350] [emoji118]hiki kispika cha Ahmed Ally kitakua shahidi.
Kwaiyo siku zote mlizofungwa na yanga kocha alikuwa zolan? Vichwa vyenu naona kuna fyuzi imekatika sio bure
 
Hakuna timu kutoka bara la Afrika inayoweza kusema haiwezi kufungwa na simba. Ni shabiki maandazi Kwa mihemko ya kijinga ndie anaweza kusema hivyo kama ulivyoandika maana hana tofauti na shabiki wa rede.
Kwa ubora upi huo alionao simba labda?
 
Zolan Marck alifanya sub iliyowapa nafuu mkapata ushindi mechi iliyopita.

mfungaji wenu mkuu Mayele hakuwai kufunga kwenye Daby yoyote ile aliyocheza Onyango.
Simba kocha wa sasa ni Mgunda anawajua nje ndani safu ya ulinzi Ochieng atakuwepo,safu ya ushambuliaji General Phiri atakuwepo mtapigwa 3-0 nipo nimekaa pale kwa mzee mpii[emoji117] [emoji60].

[emoji350] [emoji118]hiki kispika cha Ahmed Ally kitakua shahidi.
Kumbe kwenye mechi zote ulizopigwa na yanga kocha alikuwa zolan? Sikulijua hilo kama zolan ndo amekuwa kichaka basi kazi ipo
 
Kilichomkuta Simba, alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele. Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba Simba atamfunga Yanga? Nasemwa hivi Simba kwa sasa haiwezi na haitoweza kuifunga Yanga

Simba kichapo kiko pale pale, pigeni propaganda ila ikifika Jumapili msianze visingizio vya Matola sijui Mgunda kakosea kupanga timu! Simba bado ni mbovu mbovu hasa kwa Yanga!

Nimekaa pale.😀😀
Halafu mkishamfunga Simba mnaingia makundi Champions League wewe UTOPOLO?
 
Back
Top Bottom