technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Ni kweli Barbara ndie atakaye chezesha, Inamaana Miaka yote Simba anavyofungwa na Yanga inakua Sababu ya hongo!! Kama mpaka Sasa hamuamini Yanga amewazidi kwenye ubora uwanjani, mtaendelea kufungwa Kwa muda mrefu mpaka mtakapoa jitambua.Bahati mbaya kwenu ni kuwa hii mechi hachezeshi Arajiga wala Kayoko. Atachezesha yule mwanamama asiyehongeka.
Na ndiyo lengo lenu kuu la usajili. Mkishalambwa 4 tena itakuwa mwisho wa nyodo.Ni kweli Barbara ndie atakaye chezesha, Inamaana Miaka yote Simba anavyofungwa na Yanga inakua Sababu ya hongo!! Kama mpaka Sasa hamuamini Yanga amewazidi kwenye ubora uwanjani, mtaendelea kufungwa Kwa muda mrefu mpaka mtakapoa jitambua.
Hii game ya tar 23 simba anaitak na yanga anaitak ss na me nipo paleeeKilichomkuta simba alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele
Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba simba atamfunga yanga?
Nasemwa hivi simba kwa Sasa haiwezi na haitoweza kuifunga yanga
Simba kichapo kiko pale pale pigeni propaganda Ila ikifika jumapili msianze visingizio vya Matola sijui Mgunda kakosea kupanga timu!!
Simba bado ni mbovu mbovu hasa kwa yanga!!!
Nimekaa pale๐๐
Naona wanaweweseka mnoo,sijui wamepatwa na niniNazidi kuwahurumia utopolo, hiyo siku kama ikitokea mkafungwa na Simba ndio mtazimia kuanzia kwa Mkapa mpaka majumbani kwenu, naamini huku kujiamini kwenu kupitiliza kwa jambo msilo na uhakika nalo, ni moja ya dalili za yale matatizo ya akili tuliyoambiwa yanazidi kuongezeka Tanzania.
hawa makosa ya zolan yamewafanya kuwa jeuri sana, kwa kujiamini huku huenda siku hiyo wakajitia kitanzi. hizi siku zilizobaki polisi wazuie manunuzi ya kamba aina yeyote hadi tarehe 23 ikipita.Zolan Marck alifanya sub iliyowapa nafuu mkapata ushindi mechi iliyopita.
mfungaji wenu mkuu Mayele hakuwai kufunga kwenye Daby yoyote ile aliyocheza Onyango.
Simba kocha wa sasa ni Mgunda anawajua nje ndani safu ya ulinzi Ochieng atakuwepo,safu ya ushambuliaji General Phiri atakuwepo mtapigwa 3-0 nipo nimekaa pale kwa mzee mpii[emoji117] [emoji60].
[emoji350] [emoji118]hiki kispika cha Ahmed Ally kitakua shahidi.
Makosa ya Zolan ni makubwa.hawa makosa ya zolan yamewafanya kuwa jeuri sana, kwa kujiamini huku huenda siku hiyo wakajitia kitanzi. hizi siku zilizobaki polisi wazuie manunuzi ya kamba aina yeyote hadi tarehe 23 ikipita.
mimi nafurahi sana imani waliyonayo maana baada ya hapo maumivu yao ndio itakuwa furaha yangu.Makosa ya Zolan ni makubwa.
Oatara alimpa sifa mtikisa Manyonyo bila sababu,beki ni mzito kama kontena la zege.
ngoja uone Onyango atakavyopiga kufuli ya mjerumani.alafu General Phiri atakavyotupia goli mbili,Chama moja.
off target za Okrah na Sakho zitaifanya sifa kukosa kosa kumpiga sita Utopolo siku iyo ya j'pili.
Ushabiki wa namna hii mbaya hata kwa afya yako. Suppose it becomes the opposite brother, dont prepare stressors for yourself ndg yangu. Binafsi ni shabiki wa Simba, ila naheshimu kila tImu. Yanga inapocheza kimataifa, huwa natamani ifunge na ishinde (ni ukweli kabisa).Kilichomkuta simba alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele
Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba simba atamfunga yanga?
Nasemwa hivi simba kwa Sasa haiwezi na haitoweza kuifunga yanga
Simba kichapo kiko pale pale pigeni propaganda Ila ikifika jumapili msianze visingizio vya Matola sijui Mgunda kakosea kupanga timu!!
Simba bado ni mbovu mbovu hasa kwa yanga!!!
Nimekaa pale๐๐
Sopu mmoja aliwatoa kinyesi,leo hii Simba kuna kina Sopu kama saba hivi,we kazi wanayo jpili.mimi nafurahi sana imani waliyonayo maana baada ya hapo maumivu yao ndio itakuwa furaha yangu.
kama mgunda akiwa na sopu aliwadhibiti kule arusha ndio wajitambie na simba hii?.