SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Usiishi kwa mazoeaKilichomkuta simba alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele
Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba simba atamfunga yanga?
Nasemwa hivi simba kwa Sasa haiwezi na haitoweza kuifunga yanga
Simba kichapo kiko pale pale pigeni propaganda Ila ikifika jumapili msianze visingizio vya Matola sijui Mgunda kakosea kupanga timu!!
Simba bado ni mbovu mbovu hasa kwa yanga!!!
Nimekaa pale[emoji3][emoji3]
Hivi yanga hajawahi fungwa na simba eti ?Ni kweli Barbara ndie atakaye chezesha, Inamaana Miaka yote Simba anavyofungwa na Yanga inakua Sababu ya hongo!! Kama mpaka Sasa hamuamini Yanga amewazidi kwenye ubora uwanjani, mtaendelea kufungwa Kwa muda mrefu mpaka mtakapoa jitambua.
Hawa nati zimechomokaHivi yanga hajawahi fungwa na simba eti ?
Kilichomkuta Simba, alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele. Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba Simba atamfunga Yanga? Nasemwa hivi Simba kwa sasa haiwezi na haitoweza kuifunga Yanga
Simba kichapo kiko pale pale, pigeni propaganda ila ikifika Jumapili msianze visingizio vya Matola sijui Mgunda kakosea kupanga timu! Simba bado ni mbovu mbovu hasa kwa Yanga!
Nimekaa pale.[emoji3][emoji3]
mpira hautabirikiKilichomkuta Simba, alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele. Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba Simba atamfunga Yanga? Nasemwa hivi Simba kwa sasa haiwezi na haitoweza kuifunga Yanga
Simba kichapo kiko pale pale, pigeni propaganda ila ikifika Jumapili msianze visingizio vya Matola sijui Mgunda kakosea kupanga timu! Simba bado ni mbovu mbovu hasa kwa Yanga!
Nimekaa pale.[emoji3][emoji3]
Utopolo bila kuhonga waamuzi,na mbinu nyingine kama za kuumiza wachezaji kabla ya mechi,hawana loloteNi kweli Barbara ndie atakaye chezesha, Inamaana Miaka yote Simba anavyofungwa na Yanga inakua Sababu ya hongo!! Kama mpaka Sasa hamuamini Yanga amewazidi kwenye ubora uwanjani, mtaendelea kufungwa Kwa muda mrefu mpaka mtakapoa jitambua.
Hapa Wala hakuna Cha kujadili, Yanga anacheza na mteja wake, point 3 ziko pale.Bahati mbaya kwenu ni kuwa hii mechi hachezeshi Arajiga wala Kayoko. Atachezesha yule mwanamama asiyehongeka.
Siku si nyingi Taifa litaingia kwenye aibu nyingine kuuuubwa sana
Ni aibu hii thread imeanzishwa na mwanayanga mwenzangu. Sisi mafanikio yetu ni kumfunga Simba?π³π³π³π³Kilichomkuta Simba, alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele. Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba Simba atamfunga Yanga? Nasemwa hivi Simba kwa sasa haiwezi na haitoweza kuifunga Yanga
Simba kichapo kiko pale pale, pigeni propaganda ila ikifika Jumapili msianze visingizio vya Matola sijui Mgunda kakosea kupanga timu! Simba bado ni mbovu mbovu hasa kwa Yanga!
Nimekaa pale.ππ
Kwaiyo siku zote mlizofungwa na yanga kocha alikuwa zolan? Vichwa vyenu naona kuna fyuzi imekatika sio bureZolan Marck alifanya sub iliyowapa nafuu mkapata ushindi mechi iliyopita.
mfungaji wenu mkuu Mayele hakuwai kufunga kwenye Daby yoyote ile aliyocheza Onyango.
Simba kocha wa sasa ni Mgunda anawajua nje ndani safu ya ulinzi Ochieng atakuwepo,safu ya ushambuliaji General Phiri atakuwepo mtapigwa 3-0 nipo nimekaa pale kwa mzee mpii[emoji117] [emoji60].
[emoji350] [emoji118]hiki kispika cha Ahmed Ally kitakua shahidi.
Kwa ubora upi huo alionao simba labda?Hakuna timu kutoka bara la Afrika inayoweza kusema haiwezi kufungwa na simba. Ni shabiki maandazi Kwa mihemko ya kijinga ndie anaweza kusema hivyo kama ulivyoandika maana hana tofauti na shabiki wa rede.
Kumbe kwenye mechi zote ulizopigwa na yanga kocha alikuwa zolan? Sikulijua hilo kama zolan ndo amekuwa kichaka basi kazi ipoZolan Marck alifanya sub iliyowapa nafuu mkapata ushindi mechi iliyopita.
mfungaji wenu mkuu Mayele hakuwai kufunga kwenye Daby yoyote ile aliyocheza Onyango.
Simba kocha wa sasa ni Mgunda anawajua nje ndani safu ya ulinzi Ochieng atakuwepo,safu ya ushambuliaji General Phiri atakuwepo mtapigwa 3-0 nipo nimekaa pale kwa mzee mpii[emoji117] [emoji60].
[emoji350] [emoji118]hiki kispika cha Ahmed Ally kitakua shahidi.
Halafu mkishamfunga Simba mnaingia makundi Champions League wewe UTOPOLO?Kilichomkuta Simba, alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele. Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba Simba atamfunga Yanga? Nasemwa hivi Simba kwa sasa haiwezi na haitoweza kuifunga Yanga
Simba kichapo kiko pale pale, pigeni propaganda ila ikifika Jumapili msianze visingizio vya Matola sijui Mgunda kakosea kupanga timu! Simba bado ni mbovu mbovu hasa kwa Yanga!
Nimekaa pale.ππ