iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 864
- 1,798
Poleni watanzania wenzangu , ajali iliyotokea kata ya kariakoo ndani ya wilaya ya ilala inayohusisha jenho la biashara kuporomoka na kusababisha janga kubwa ambalo limegusa mioyo ya watu nakuacha simanzi kubwa , ajali hii ni funzo kubwa na haiwezi kusahaulika. Binafsi, nilifika kuwaaga ndugu zetu hawa , na kuwapa faraja wafiwa na watanzania wote kwa ujumla
Napenda nitoe shukrani na pongezi kwa viongozi wote wa chama na serikali , jeshi la polisi , wanajeshi , taasisi zote , wananchi na kila mtu alieguswa na kuhudhuria siku hiyo
Mimi kama kiongozi kijana kutokea chama cha mapinduzi , wilayani ilala nikiwakilisha kata ya kivukoni nilikuwa mstari wa mbele kabisa siku hiyo, nilikuwa pamoja na kumpa nguvu mama yetu samia suluhu hassani katika janga hili kwani hii ajali ni pigo kubwa kwake kama kiongozi mkuu ,
Ningependa niwape baadhi ya picha nilizopiga mimi binafsi, picha hizi ni ruksa kuziweka kwenye kumbukumbu zenu.
Asanteni Sana.
Engineer Adam Magesa Ekingo
(Mjumbe wa CCM, Wilaya ya Ilala, Kata ya Kivukoni)
#AlipoMamaVijanaTupo

Attachments
-
IMG_8031.JPG604 KB · Views: 5 -
IMG_8030.JPG718.9 KB · Views: 6 -
IMG_7996.JPG569.3 KB · Views: 3 -
IMG_7982.JPG679.5 KB · Views: 4 -
IMG_7869.JPG698.9 KB · Views: 4 -
IMG_7899.JPG542.2 KB · Views: 3 -
IMG_7758.JPG730.5 KB · Views: 5 -
IMG_7752.JPG1.3 MB · Views: 6 -
IMG_7753.JPG1.2 MB · Views: 5 -
IMG_7711.JPG485.4 KB · Views: 4 -
IMG_7712.JPG487.4 KB · Views: 4 -
IMG_7659.JPG682.8 KB · Views: 4 -
IMG_7594.JPG652.2 KB · Views: 3 -
IMG_7651.JPG737.1 KB · Views: 4 -
IMG_7587.JPG938.8 KB · Views: 4 -
IMG_7588.JPG889 KB · Views: 5 -
IMG_7589.JPG706 KB · Views: 5 -
IMG_7563.JPG626.8 KB · Views: 4 -
IMG_8011.JPG629 KB · Views: 3 -
IMG_8012.JPG567.5 KB · Views: 6 -
IMG_8009.JPG601.1 KB · Views: 5 -
IMG_7983.JPG580.8 KB · Views: 5 -
IMG_7982.JPG679.5 KB · Views: 3 -
IMG_7973.JPG558.6 KB · Views: 4 -
IMG_8013.JPG499.7 KB · Views: 5 -
IMG_8012.JPG567.5 KB · Views: 5 -
IMG_8009.JPG601.1 KB · Views: 5 -
IMG_8008.JPG665.9 KB · Views: 4 -
IMG_7983.JPG580.8 KB · Views: 4 -
IMG_7982.JPG679.5 KB · Views: 5