Ilikuwa ni siku mbaya sana kwa Dkt. Slaa na Prof. Safari baada ya kupigwa kibabe na CHADEMA mwenzao

Ilikuwa ni siku mbaya sana kwa Dkt. Slaa na Prof. Safari baada ya kupigwa kibabe na CHADEMA mwenzao

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Kila mahala watu wanalizwa lakini hili la kulizwa kibabe na mtu kukunja mkwanja iliwaumiza sana wanaChadema

image_search_1680577047319.jpg
 
Watu makini wanaangalia credibility Kwa kusimamia misingi wew unafikiria biashara kwahiyo misaada ikija masharti yanayokiuka maadili yetu tuikubali Tu Kwa sababu ni fedha??
Mtaji wa chama cha siasa ni watu, hebu ondowa ushuzi wako hapa nenda kwa Zitto.
 
Sijawahi kuona popote mkionesha ushahidi wa huo mkwanja kukunjwa, ni kelele tu ambazo zimekuwa zikirudiwa mara kwa mara..
 
Huwezi kung'ang'ania kuelezea matukio yaliyopita bila kutambua kwa kina "essence" iliyopelekea maamuzi hayo. Wewe tambua tu kuwa siasa ni mchezo mchafu ambao hauna rafiki wala adui wa kudumu, bali yapo maslahi ya kudumu.
Kila mahala watu wanalizwa lakini hili la kulizwa kibabe na mtu kukunja mkwanja iliwaumiza sana wanaChadema

View attachment 2575770
"History is more than the path left by the past. It influences the present and can shape the future"
 
Watu makini wanaangalia credibility Kwa kusimamia misingi wew unafikiria biashara kwahiyo misaada ikija masharti yanayokiuka maadili yetu tuikubali Tu Kwa sababu ni fedha??
Na hapo CDM sasa wakoje??
 
Nchi hi imejaa vyombo vya dola ambavyo viko chini ya chama cha mapinduzi huyo adui yenu wa kisiasa Mbowe angekunja huo mkwanja bila vyombo hivyo kumkamata .
Unataka kutuambia huyo Mbowe TAKUKURU walimuogopa kumkamata baada ya huyo Mamvi kumpatia huo mkwanja?Hakuna kipindi ambapo vyombo vya dola vinakuwa active kama wakati wa uchaguzi
 
Results zake, Chadema kura za Uraia million 6 plus na Wabunge 100 plus, who was the winner in political game?
Fast forward, kaja yuda tundulissu na matusi yake rufufu, kambakisha Mbunge mmoja na kura 13%. Embu niambie, ushawahi kumsikia Lowassa akimtukana mtu au hata kupandisha sauti?
 
Back
Top Bottom