Uchaguzi 2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

Rushwa na ccm ufisadi na ccm ni sawa na kucha na kidole
Sio kweli bwana, ccm chama kisafi sana na hakuna mfano wake duniani.

Niambie Magufuli alimpa nani rushwa ili apitishwe na ccm kugombea uongozi wa vyombo vya dola
 
Baadae watalipwa kwa 'character assassination'
 
Mbona hayupo katika hii list inayoenda kwa Director ya maafisa kificho na kipenyo wenzake waliotia nia
 
Zinamhurusu kwa kuwa aliingia makubaliano na DPP hivo hakuhukumiwa isipokuwa alilipa bilioni 1.5 kwanza

..ukilipa maana yake umekubali makosa.

..huyu anataka "zindiko" la ccm ili aendelee na maisha yake bila usumbufu.

..nia yake siyo kutumikia ubunge, bali kuwaonyesha ccm kuwa yeye ni mwenzao, na amesamehe.

cc jmushi1 , Kilatha, tindo
 


WOTE NI JORA MOJA

CCM INA WENYEWE ; NA WENYEWE NI HAWA MAFIA

Wengine ni hawa

 
Wale maadui watatu wa nchi hii ambao Mwalimu mpaka anaachia madaraka aliwashindwa-Ujinga Maradhi na Umasikini bado wanalipa tabu taifa hili eti kuna watanzania wanaamini JPM anaweza kuongoza vita kupambana na rushwa! Anayeamini hivyo lazima awe ni mjinga!
 
..ukilipa maana yake umekubali makosa.

..huyu anataka "zindiko" la ccm ili aendelee na maisha yake bila usumbufu.

..nia yake siyo kutumikia ubunge, bali kuwaonyesha ccm kuwa yeye ni mwenzao, na amesamehe.

cc jmushi1 , Kilatha, tindo
Alishawaonyesha yeye ni mwenzao baada ya kumgeuka wakili wake ili ajiokoe yeye mwenyewe na chama chao cha ccm.

Lissu ni kama mbuzi kafara wa ufisadi ulioratibiwa na ccm.
 
Uliyemsema ndiye.

Lakini nataka nikuambie kwa ukweli wa 100%, kama unataka kuujua ukweli.

The whole issue of Acacia was fabricated. Hakuna ukweli wowote katika madai aliyoyatamka Rais wala zile Tume zake mbili.

Katika ile fabrication kulikuwa na malengo mawili tu:
1) kupata political popularity
2) kujenga mazingira yatakayolazimisha mikataba iandaliwe upya

Kesi ya Deo Mwanyika na mwenzake Mwaipopo haikuwa halisia. Makosa yote 39 waliyoshtakiwa yalikuwa ya kutengenezwa, na hakukuwa na kosa lolote waliloshtakiwa wao kama watu binafsi. Yote yalikuwa yanahusiana na kampuni. Deo alikuwa amekwishaacha kazi mwaka mmoja uliokuwa umetangulia. Uliona wapi aliyekuwa mfanyakazi na sasa siyo mfanyakazi, akashtakiwa kwa makosa ya kampuni?

Mwisho wa yote waliyafuti makosa yote 38, na kubakiza moja eti la kuisaidia kampuni kukwepa kodi. Yaani makosa ya uhujumu uchumi na utakatidlshaji fedha yaliyowafanya wakae mahabusu zaidi ya mwaka, mwishoni ikaonekana hayapo!

Ndiyo maana tunasema, utawala wa awamu hii umejaa hadaa nyingi na uonevu kwa watu wasio na kosa. Is suitable regime for the fools.

Hata ile faini ya sh 1.5 bilioni Deo hajalipa hata shilingi 1. Aliyelipa ni Barrick.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..hakumgeuka mtu yeyote.

..Mwanyika alikamatwa muda mrefu baada ya mbunge kuwa ameshashambuliwa.

..na mbunge aliyekuwa akiwasiliana na Mwanyika siye huyo aliyeshambuliwa.
Kwahiyo Maghufuli alipokuwa akisema “anatafuta taarifa”, unadhani Lissu alikuwa akiongea na nani? Umeitizama ile video Lissu aliyoelezea hii issue? Nimeiweka kwenye ile thread yangu ya “Mapendekezo 21 ya Professor Osoro”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…