Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
- Thread starter
- #61
Prince achana nae ....Bado unabisha tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prince achana nae ....Bado unabisha tu?
Wewe ndio unamihemuko Deo Sanga ni Makambako.PUNGUZA MIHEMKO NA UONGO. WA NJOMBE NI DEO SANGA NA WA ACACIA NI DEO MWANYIKA.
Sio kweli bwana, ccm chama kisafi sana na hakuna mfano wake duniani.Rushwa na ccm ufisadi na ccm ni sawa na kucha na kidole
Baadae watalipwa kwa 'character assassination'Magufuli anazuga kupambana na mafisadi, kinachofanyika ni sawa kukiita state sponsored robbery, watu wanaamua tu kulipa hela ili wawe huru.
Tizama akina Sethi waliogoma kulipa hela, hakuna ushahidi wowote wa maana unaopelekwa mahakamani ili wahukumiwe, kwa sababu haupo!
Justice delayed is justice denied.
Mgao wa Trillion 1.5 hautaupataPUNGUZA MIHEMKO NA UONGO. WA NJOMBE NI DEO SANGA NA WA ACACIA NI DEO MWANYIKA.
Kundi la machoco bimbiDuu ...sijui nikuweke kundi gani ?
View attachment 1545929
Mbona hayupo katika hii list inayoenda kwa Director ya maafisa kificho na kipenyo wenzake waliotia niaAu huyu mwanyika pale Mgodini alikuwa ni Afisa Kificho(undercover) au alikuwa Afisa Kipenyo (penetration officer) au ndo kama yule DSO wa Ngorongoro alokamatwa na kwa kuhongwa magari na Mwarabu na hatujasikia tena kesi yake.[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]hawa watu wawili
Afisa kificho na afisa kipenyo ukifanikiwa kuona list yao kuna watu ukikutana nao unaweza kuwakimbia ..hata huko upinzani wamejazana
Bwana mdogo upo pande hizi,Yule wa Njombe mjini nadhani ni DEO SANGA na sio huyo Mwanyika
Zinamhurusu kwa kuwa aliingia makubaliano na DPP hivo hakuhukumiwa isipokuwa alilipa bilioni 1.5 kwanza
Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi.
Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake ambayo ilikuja kufanya kazi Sept 2017 kuwa kuna wasaliti katika vita na wanajeshi wanajua msaliti wanamfanyaje?.
Ikiwa mtu alihukumiwa palipo shaka kuwa alikwepa kulipa kodi na kupigwa ya bilioni 2 je kwa hayo makando ya uhujumu uchumi na kukwepa kulipa kodi na kuhukumiwa bado anafaa.
Au huyu mwanyika pale Mgodini alikuwa ni Afisa Kificho(undercover) au alikuwa Afisa Kipenyo (penetration officer) au ndo kama yule DSO wa Ngorongoro alokamatwa na kwa kuhongwa magari na Mwarabu na hatujasikia tena kesi yake.
Sitaki kusemea sheria na katiba ila naomba tusemee utamaduni wetu na Rais wetu anaepambana na mafisadi ni kweli Mkuu anapambana na mafisadi majizi na wala rushwa au ni selective nani aachwe nani afungwe.
Kama niliyemsema siye na majina yamefanana nitangulize msamaha.
Ipo tweeter tokea juzi ijumaaKigogo kamwagaa hadharani hawa maafisa wenye tamaa ya madaraka
Deo Sanga MakambakoYule wa Njombe mjini nadhani ni DEO SANGA na sio huyo Mwanyika
Huyo jamaa ana ubishi wa kipumbavu sanaBado unabisha tu?
Alishawaonyesha yeye ni mwenzao baada ya kumgeuka wakili wake ili ajiokoe yeye mwenyewe na chama chao cha ccm.
Alishawaonyesha yeye ni mwenzao baada ya kumgeuka wakili wake ili ajiokoe yeye mwenyewe na chama chao cha ccm.
Uliyemsema ndiye.Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi.
Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake ambayo ilikuja kufanya kazi Sept 2017 kuwa kuna wasaliti katika vita na wanajeshi wanajua msaliti wanamfanyaje?.
Ikiwa mtu alihukumiwa palipo shaka kuwa alikwepa kulipa kodi na kupigwa ya bilioni 2 je kwa hayo makando ya uhujumu uchumi na kukwepa kulipa kodi na kuhukumiwa bado anafaa.
Au huyu mwanyika pale Mgodini alikuwa ni Afisa Kificho(undercover) au alikuwa Afisa Kipenyo (penetration officer) au ndo kama yule DSO wa Ngorongoro alokamatwa na kwa kuhongwa magari na Mwarabu na hatujasikia tena kesi yake.
Sitaki kusemea sheria na katiba ila naomba tusemee utamaduni wetu na Rais wetu anaepambana na mafisadi ni kweli Mkuu anapambana na mafisadi majizi na wala rushwa au ni selective nani aachwe nani afungwe.
Kama niliyemsema siye na majina yamefanana nitangulize msamaha.
Kwahiyo Maghufuli alipokuwa akisema “anatafuta taarifa”, unadhani Lissu alikuwa akiongea na nani? Umeitizama ile video Lissu aliyoelezea hii issue? Nimeiweka kwenye ile thread yangu ya “Mapendekezo 21 ya Professor Osoro”..hakumgeuka mtu yeyote.
..Mwanyika alikamatwa muda mrefu baada ya mbunge kuwa ameshashambuliwa.
..na mbunge aliyekuwa akiwasiliana na Mwanyika siye huyo aliyeshambuliwa.
yule mwalongo vipi?Deo Mwanyika Ni Njombe mjini