Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
- Thread starter
- #101
Mkuu jamaa alikuwa na mashtaka ya kukwepa kodi sio TRA walikuwa wanamdai iweje deni liwe kosa la uhujumu uchumi.?Deo Mwanyika hakuhukumiwa na mahakama acheni Uzushi .Alikuwa akidaiwa Deni na TRA akalipa tatizo like wapi?
Wewe ukidaiwa Deni ukalipa Ni mhalifu?
Mbona watu kibao hudaiwa na TRA na hulipa madeni kwa kuwa dawa ya Deni kulipa
Kalipa Yuko huru kugombea mbona wengine Ni wagombea CCM na Upinzani na wanadaiwa madeni kibao kwenye mabenki,Saccos na TRA mbona mleta Maada huwaoni kuwa wahalifu? Mbona wanechukua fomu na kushinda chaguzi za vyama vyao?
Deo Mwanyika Yuko huru kugombea Deni so sababu ya kunyimwa na kalilipa
Kisheria anagombea ila mtu alokwepa kodi akakiri kulipa ..MAGUFULI anavyowachukia hao wahujumu uchumi asingefaa kupeperusha Bendera ya chama