Uchaguzi 2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?


😂😂😂 walisema ni mwakilishi wa mabeberu 😂😂 Watanzania wamefanywa wajinga kweli kweli kesi zimeishia wapi? Kodi waliokwepa iko wapi? Halafu kuna wanafiki hapa wanasema Lissu alikuwa anatetea mabeberu wa madini na huyu je? Yuko Chadema au tuacheni ujinga!
 
Tumempukutisha kakubali ya kwamba ni mwizi mstaafu
 
We hushangai Rostam siku hizi Ni Mtakatifu!
 
..asante.

..kwani Johnson Mwanyika, former AG, anatokea Njombe?

..mimi ninavyofahamu AG Mwanyika aliangushiwa jumba bovu ktk kashfa ya richmond.

..ule ulikuwa ni mradi wa wakubwa zake na yeye hakuwa na uwezo wa kuwazuia kufanya mambo yao.
Alilambishwa, na alikuwa na uwezo wote wa kuupinga. Tamaa ndio iliyomponza. alifunguliwa makabrasha ya wenzake kina Mtemi wa Itilima akagota.
 
HIVI SASAA N SAAA NNE KAMILI
ULIPE BILION
I TUSIKUPE.UBUNGE MBINGUNI TUNAJIBU NN
USITUFOKEE PLS
 

Haaaaaa A (CCM) = equal to B (Serikali) B = is equal to C (Takukuru) so A (CCM) is equal to =C (TAKUKURU).
 
Kamati Kuu ya CCM ndiyo iliyompitisha siyo Rais Magufuli. Unafikiri CCM ni kama Saccos ya Chadema akisema Faru John ndiyo mwisho!!?
 
Alilambishwa, na alikuwa na uwezo wote wa kuupinga. Tamaa ndio iliyomponza. alifunguliwa makabrasha ya wenzake kina Mtemi wa Itilima akagota.

..hapana.

..Mwanyika na Dr.Msabaha walikuwa mbuzi wa kafara.

..lile dubwasha lilikuwa na wakubwa zao.

NB:

..nimeuliza kama Johnson Mwanyika ni mtu wa Njombe, na kama ana mahusiano na Deo Mwanyika.
 
Hii akili ya CCM ilivyotumika kukata majina mpaka sasa nashindwa kuelewa.... Hivi kweli unamkata Masele halafu unawaacha akina Msukuma., Malinga, Kibajaji....!!
 
Huyu jamaaa alionewa sana..huo ndio ukweli...hakua na kosa lolote mbaya zaidi yeye alikua mfanya kazi wa wawawekeseji sio wa serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…