Uchaguzi 2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

Alilipa faini bila conviction?
 
Meko hajawahi kujielewa alikuja na lugumi,mpka leo kamshindwa kaamua kunyuti...huyo deo ni jinga tu utajiri wote huo ukasubirie posho za bungeni
 
Deo Mwanyika is among them......

Some informations are so classified for everyone to have it easily.
Wacha tuendelee kuchambua kwa ufahamu na uono wetu wa kawaida.

You are missed bro!
 
Zinamhurusu kwa kuwa aliingia makubaliano na DPP hivo hakuhukumiwa isipokuwa alilipa bilioni 1.5 kwanza
Ukilipa ukiomba msamaha haiondoi kuwa ulikutwa na hatia, Sana unathibitisha kufanya kosa, kukili kosa nikuthibitisha kufanya kosa hakuondoi hukumu ndomana alilipa,
 
Kwani waimbapo "... ni ile ileee..." huwa hatuelewi?
 
Hii akili ya CCM ilivyotumika kukata majina mpaka sasa nashindwa kuelewa.... Hivi kweli unamkata Masele halafu unawaacha akina Msukuma., Malinga, Kibajaji....!!
Duuu jamaa anapenda wanaomsifia sana au wanaowatukana wapinzani.
 
Nkwei kabisha mghoshi....kaka wa huyu mja aliwahi kuwa AG remember?
 
Kifupi ni kiongozi muongo na mbabaishaji. Na mbaya zaidi ni kwa anaowaongoza wengi ni watu wajinga sana na wanamuamini na kumtukuza kwa kila asemalo huku wakijua anawadanganya.
Haiwezekani Leo umtangaze mtu kuwa ni mwizi wa taifa, msaliti wa vita ya uchumi, anashirikiana na maadui wa nje kisha umuweke ndani muda mrefu na mwisho umlime faini kubwa ili umuachie na kumpa uongozi wa kisiasa katika mchujo wa kutafuta watu waadilifu. Tena ndani ya muda mfupi na hakuna wa kukuhoji?
Viongozi wengine wa chama chake, wanachama na wananchi wamuungao mkono hakika ndio wanapaswa KUPIMWA AKILI ZAO jee wako timamu kuishi ndani ya huo uongo?
 
Mhongo hajathibishwa kisheria kama ni mhalifu ila kisiasa lkn huyu Deo Mwanyika mahakama ilimkuta na hatia na akalipa faini ya bilioni 2.
Hivi huyu hawezi kuwekewa pingamizi la kukosa sifa ya kuchaguliwa kama kiongozi wa kisiasa kwa kupatikana na hatia mahakamani ya utovu wa maadili?
 
Majizi yote yamejazana CCM
 
Hili hatuwezi kushangaa kwani JPM ndiyo zake. Amekuwa akiwachafua watu fulani kwa muda kwa lengo la kujitafutia sifa kwa wananchi. Mifano ya movie zake ni mingi ila natoa miwili tu kwa sasa: Unakumbuka wakati fulani akizungumza na Wafanyabiashara alipomchafua Kicheere wakati akiwa TRA? Lkn baada ya miezi mitatu alikuja msifia/msafisha na kumteua kuwa Mthibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali.
Sote tunakumbuka alipomshambulia Kange Lugola lkn lkn hadi leo hajawahishitakiwa pamoja na tuhuma zote zile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…