Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Ushahidi uko wazi kabisa juu ya order alizotoa kwenye mauaji yale ya wafanyabiashara ikawaje yeye hakukutwa na hatia? Inanikumbusha picha moja ya kihindi inaitwa "Andha Kanoon" maana yake "Sheria Kipofu"
Wakuu ilikuwaje mpk Zombe akanusurika kufungwa? Karibuni
Sio kweli...hakukua na ushahidi wa hizo order uliotolewa mahakamani!Ushahidi uko wazi kabisa juu ya order alizotoa kwenye mauaji yale ya wafanyabiashara ikawaje yeye hakukutwa na hatia? Inanikumbusha picha moja ya kihindi inaitwa "Andha Kanoon" maana yake "Sheria Kipofu"
Wakuu ilikuwaje mpk Zombe akanusurika kufungwa? Karibuni
Unamaanisha jaji wa mahakama gani sasa maana kesi ilisikilizwa mahakama kuu na ya rufaa.Jaji wa kesi hii alikuwa ndiyo kwanza kateuliwa kutokea kuwa wakili binafsi.
Hapa fikiria wakili msomi Kibatala ateuliwe kuwa jaji na kesi ni dhidi ya mshitakiwa yeyote.
Majaji wa namna hii kuegemea zaidi kwenye yote yaliyo na afueni zozote kwa mshitakiwa.
Jaji alisema zombe siye aliyefyatua risasi kuwaua wale watu.
Hata hivyo Coplo saad ambaye ndiye aliyefyatua risasi hakuweza kukamatwa na haijulikani yupo wapi mpaka leo
Unamaanisha jaji wa mahakama gani sasa maana kesi ilisikilizwa mahakama kuu na ya rufaa.
Zombe hakuwepo eneo la mauaji, hiyo ni fact. Aliyekuwepo ni Bageni, ndio zigo limemwangukia.Jaji alisema zombe siye aliyefyatua risasi kuwaua wale watu.
Hata hivyo Coplo saad ambaye ndiye aliyefyatua risasi hakuweza kukamatwa na haijulikani yupo wapi mpaka leo
Zombe hakuuwa unamshtaki vipi kwa kesi ya mauwaji?Ushahidi uko wazi kabisa juu ya order alizotoa kwenye mauaji yale ya wafanyabiashara ikawaje yeye hakukutwa na hatia? Inanikumbusha picha moja ya kihindi inaitwa "Andha Kanoon" maana yake "Sheria Kipofu"
Wakuu ilikuwaje mpk Zombe akanusurika kufungwa? Karibuni
Ya Zombe yashapita kwanini mnapenda kufukuwa Makabuli mnatafuta nini kwa Mzee Zombe?Ushahidi uko wazi kabisa juu ya order alizotoa kwenye mauaji yale ya wafanyabiashara ikawaje yeye hakukutwa na hatia? Inanikumbusha picha moja ya kihindi inaitwa "Andha Kanoon" maana yake "Sheria Kipofu"
Wakuu ilikuwaje mpk Zombe akanusurika kufungwa? Karibuni
yaani tunqvyokutana naye huku kijichi anadunda roho inatuuma sana, ametuulia watu wasio na hatiaYa Zombe yashapita kwanini mnapenda kufukuwa Makabuli mnatafuta nini kwa Mzee Zombe?
Mpaka leo bado ni kitendawili ni wapi alipo Koplo SaadJaji alisema zombe siye aliyefyatua risasi kuwaua wale watu.
Hata hivyo Coplo saad ambaye ndiye aliyefyatua risasi hakuweza kukamatwa na haijulikani yupo wapi mpaka leo
Hoja hiyo sio ya kweli,Jaji alikuwa Salum Masati nakumbuka huyo Jaji hadi anasikiliza lile shauri tayari alishakuwa kwenye Ujaji kwa muda kidogo.Jaji wa kesi hii alikuwa ndiyo kwanza kateuliwa kutokea kuwa wakili binafsi.
Hapa fikiria wakili msomi Kibatala ateuliwe kuwa jaji na kesi ni dhidi ya mshitakiwa yeyote.
Majaji wa namna hii kuegemea zaidi kwenye yote yaliyo na afueni zozote kwa mshitakiwa.
Hoja hiyo sio ya kweli,Jaji alikuwa Salum Masati nakumbuka huyo Jaji hadi anasikiliza lile shauri tayari alishakuwa kwenye Ujaji kwa muda kidogo.
Anaitwa RASHID LEMA.Ula uchawi upo nyieee, kuna askari nae alikuwa ni mtuhumiwa kwenye kesi hiyo, zamu yake ya kutoa ushahidi ilipowasili akaanza kuumwa tena akivimba kichwa, hivyo kesi ikawa inapigwa danadana mpaka jamaa akafa!
Wengi wanasema kama jamaa angeweza kupanda kizimbani na kutoa ushahidi Zombe angekuwa pabaya leo hii!