Alikuwa wakili wa kujitegemea ofisi zake Morogoro,akateuliwa kuwa jaji, kesi ya Zombe ilimkuta akiwa senior jaji tayari,na kabla hajasoma hukumu tayari alishakua Jaji mteule wa mahakama ya rufani ya tanzania,ni moja ya majaji walio nyooka sanaaa ndio maana hutaona majaji wa kariba yake wakiwa assigned kesi za kisiasa zile za kupoteza muda.
By the way,jamaa alikua jaji 2004
Kuweka rekodi sahihi shauri la akina Zombe nalo lilijiri miaka ya 2006 na hukumu kutolewa around 2009.