Ilikuwaje mpaka ACP Abdallah Zombe akanusurika kufungwa?


Kuweka rekodi sahihi shauri la akina Zombe nalo lilijiri miaka ya 2006 na hukumu kutolewa around 2009.
 
Huko porini unaponitajia sijawahi kufika na sitarajii kufika.

Usikonde sana mkuu.

Ila kwa mujibu wa wanazuoni Masati aliukwaa ujaji around 2004 na shauri la kina Zombe likajiri 2006 ambapo hukumu yake ilikuwa 2009.

Swekeni ni za kumwaga. Buseresere ni kiwakilishi ambishi cha zote zingine.
 
Zombe aliachiwa Kwa sababu nyingi moja hakuna shahidi yoyote aliyemuona eneo la tukio mbili waliouwa walisema walipewa oda na zombe kama mkuu wao kuuwa Ila zombe kwenye uteteze alisema wale ni watu wenye akili timamu wanajua Baya na zuri walikuwa na uwezo WA kukataa Ile odaa kwaiyo si kweli kuwa aliwatuma
 
Christopher Bageni huyo yupo anasubiri kitanzi
 
Umenikumbusha Marehemu Koplo Rashid Lema.
 
Hapakuwepo hoja zenye mashiko za kumtia hatiani.
Hakuwepo Eneo la tukio
Hakutoa Amri
Yeye Hakuua
Hajawai waona Watuhumiwa
 
Nadhani ni Bageni huyo aliyehukumiwa kunyongwa.
 
Hivi ni uzembe au ni competence?? Huwa naona wanapelekwa mbio sana na wapinzani wao mfano Kibatala, Lissu nk
 
Koplo Saad na Zombe wote hao ni TISS, ilikuwa danganya toto tu kipindi kile... wanafungwaga hao unadhani?!

Kila siku zinaimarishwa sheria za kuwalinda tu, na saiv wanataka kupewa mamlaka ya kukamata kabisa muhalifu/raia ukileta fyokofyoko on-the spot!
 
siku hiyo yeye hakuwa eneo la 2kio!!!,,,,
 
Duuh ss umeandika nn hapa?
 
ukijua sheria nchi hii unastarehe..jamaa kawakaanga wenzie.. ...yeye yupo huru na pesa kala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…