gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Hakuwa na ushawishi,watu wa dar hawakumtaka,ni akina sykes, sheikh takadir, sheikh amir,tutu mohamed nk ndiyo waliojitahidi kuwashawishi waislam wamkubali,hadi sheikh takadir akimuita nyerere nabii musaKuna bandiko nilisoma wanaeleza kuwa nguvu ya ushawishi aliyokuwa nayo nyerere ni sawa na ushawishi aliokuwa nao Hitler kwa wanazi
Pili Nyerere alikuwa anajiamini sana hivo waliona ni mtu sahihi kuwaongoza ukitaka kuamini nyerere alikuwa kiongozi mwenye ushawishi fuatilia speech zake, kuna babu zetu isingekuwa ushawishi wa nyerere hata vita ya kagera wasingeshiriki jamaa alikuwa ana ushawishi sana
Kwa zama hizi kumpata mtu mwenye wajihi wa mwalimu ni kipengele sana.