Ujinga mwingine huu..eti tunapasishwa. Are you serious? Na elimu bora ni ipi? Kupata cheti na kuitwa Professor wakati hujaelimika au kusoma kawaida, kuwa na skills na maarifa ya kupata majawabu ya changamoto za mazingira na kazi unazofanya?
Unaelewa nini kuhusu elimu? Kusoma na nkuona wengine sio watu na hawastahili kuishi sababu hawafanyi unayofanya wewe?
Unless usome na kuelimika, utaendelea kuwa mbumbumbu. Cheti sio kigezo cha mtu aliyesoma. Kama huamini endelea hivyo hivyo.
Na haina maana hakuna waliosoma kwenye hizi dini zetu. Wapo wengi wamesoma na kuelimika. Na wakiielewa dini, huenda mbali zaidi na kuwa fair na kuheshimu watu wengine.
Kwa vigezo vyote, wewe bado una ujinga mwingi ndani yako. Hebu kasome tena uelewe mambo ya dunia yanavyokwenda na kwanini dini yako ni kitu binafsi kwako, hakituhusu wengine.