Binafsi niligunduwa baadae kumbe aliyetuzidi wote ujanja alikuwa Muingereza, hata Ikulu Waingereza walimweka Nyerere kama kanyaboya tu.
. Mtawala wa Ikulu alikuwa mwanamke wa Kiingereza aitwae Joan Wicken.
Unalijuwa hilo?
Mbona umemtaja Joan tu, umemwacha Amir Jamal, Al nNoor Kassum, Derick Brycesson, Maana wote hao walikuwa ni watu muhimu sana kwa Nyerere, kuliko hata Joan, au kwa sababu ni Mzungu na ni Mwingerza,
Mwal hakuwa na ubaguzi, alikuwa anaweka watu ambao ni kichwa na wangemsaidia kazi zake,
Vipi wewe akina Sykes, kwa nini hawakuwaweka Waarabu wenzako,
Wawasaidie,.
Halafu hebu tujuuze, Mpaka Mwalimu anaachia Urais , na kupewa vyeo kama Mwenyekiti wa SOUTH SOUTH COMMISSION, na kutembea dunia nzima , hao Wazungu walikuwa vilaza mpaka kumpa jukumu hilo kilaza mwenzao?
Mwalim mpaka kuaminiwa kuwa Mwenyekiti wa Nchi za mstari wa mbele kusini mwa Afrika, ni kwa sababu ya Joan?
Mwal akizungumza na Keneth wa Marekani , Joan ndio alikuwa kwenye Ubongo wake,
Hivi wakati Mwal anamgaragaza Sykes, Joan alikuwa pembeni yake,
Huwa najiuliza sana ingetokea nchi hii mwislam ndio angekuwa Nyerere sijui ingekuwaje.
Nimekusoma leo unakimbilia miaka 70, ni umri wa kujifunza kutafakari mambo na kuacha chuki za kijinga.