Ilikuwaje Nyerere akamshinda Sykes?

Ilikuwaje Nyerere akamshinda Sykes?

Licha ya kwamba Nyerere alikuwa msomi ila ukweli ni kwamba kulikuwa na wasomi wengine, pengine wenye maarifa na upeo kumzidi yeye

Kikubwa ambacho mwalimu aliwazidi wenzake ni manipulation,. Nyerere alikuwa manipulator mzuri sana na hii ilimsaidia katika planning na utekelezaji la malengo yake.

Historia ya Nyerere imejaa mengi ambayo yapo nyuma ya pazia ila yanajulikana.

Uwezo wake mkubwa katika kupandikiza mbegu za anachokiamini ndicho kilichomsaidia.

Nyerere alikuwa smart dictator aliwabana waliompinga na waliokuwa kinyume na itikadi au malengo yake

Vichwa kama vya akina Oscar Kambona, Tuntemeke Sanga na wengineo waliweza kumpa challenge mwalimu Nyerere.

Ni hayo tu, nipo tayari kurekebishwa ila kiukweli isingekuwa rahisi kwake kumshinda mtoto wa mjini Sykes bila kutumia mbinu za ulaghai na manipulation.
 
Kulingana na mahojiano ya Tundu Lissu na mtangazaji wa ITV , Lissu alidai mara ya Mwisho CCM kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti kwa ushindani ilikuwa mwaka 1954 kati ya Julius Nyerere na Abdulwahid Sykes. Ambapo Nyerere alimbwaga Abdulwahid Sykes. Uchaguzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Anatoglou.

Swali la msingi ilikuwa ni kwamba ilikuwaje Nyerere amshinde Sykes ambaye alikuwa ni mtoto wa hapa Dar na baba yake alikuwa kiongozi wa TAA hapo kabla. Yani Nyerere kutoka Musoma aliwezaje kuwashawishi wajumbe wamchague yeye wamuache Sykes wa Dar.

Tusaidiane mbinu alizotumia Nyerere kushinda uchaguzi huo maana haikuwa rahisi.
And u think Nyerere was just a bum and dummy?

Nyerere was and is still the brightest mind Africa has ever produced

Nyerere's thinking and outta-this-world oration capacity was next to none...

In a minute he influenced all the voters to vote for him..

Stop this nonsense thinking Nyerere was in the same lower level Sykes was in....

It was like Mercedes Benz S Class compared to a beat up Toyota GX100...what a loss
 
Kulingana na mahojiano ya Tundu Lissu na mtangazaji wa ITV , Lissu alidai mara ya Mwisho CCM kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti kwa ushindani ilikuwa mwaka 1954 kati ya Julius Nyerere na Abdulwahid Sykes. Ambapo Nyerere alimbwaga Abdulwahid Sykes. Uchaguzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Anatoglou.

Swali la msingi ilikuwa ni kwamba ilikuwaje Nyerere amshinde Sykes ambaye alikuwa ni mtoto wa hapa Dar na baba yake alikuwa kiongozi wa TAA hapo kabla. Yani Nyerere kutoka Musoma aliwezaje kuwashawishi wajumbe wamchague yeye wamuache Sykes wa Dar.

Tusaidiane mbinu alizotumia Nyerere kushinda uchaguzi huo maana haikuwa rahisi.
Kaisoma wapi hiyo historia?
 
Vyovyote vile ila kwa akili za kawaida sidhani kama mwingereza alikaa tu pembeni akisubiri hatma bila kulinda maslahi yake. Pamoja na yote JN amefanya kazi kubwa mno kuliunganisha taifa. Nchi haina deni naye.
Wakoloni nchi zote wameondoka ila wamebakisha vibaraka ...Ukienda kinyume chake hauna maisha marefu .
 
Huyo sio wa kumwamini sana, pamoja na kuifahamu historia vizuri lakini udini unampunguzia weledi hivyo anaweza kupotosha mada hii.
Porojo hizo, hampendi tu kusikia historia ya ukweli kuwa Waislam ndiyo waasisi wa kupigania uhuru wa Tanganyika.
 
Back
Top Bottom