kwa hivyo lkama walikuw wao ndio wakawapinga? wewe hizi akili umeziweka wapi?Inawezekana. Lakini uzuri wa Kanisa ni kwamba vijana wengi wa Kiafrika walioongoza Mapambano ya Kupigania Uhuru wa Nchi zao walisoma kwenye skuli zao. Kwa namna hiyo, walichangia uhuru, ingawa lengo la awali halikuwa hilo bali kuendeleza ukoloni.
Ebu soma vizuri ulichoandika kama kinaeleweka. Kama hakieleweki Fanya masahihisho nikujibu.kwa hivyo lkama walikuw wao ndio wakawapinga? wewe hizi akili umeziweka wapi?
Kwa lipi zaidi?Nyerere genius a real son of Tanzania[emoji7][emoji7]
Ni baraka kwa taifa letu[emoji7]
#Nyerere ni mwenye heri[emoji7]
Wazee walishaamua kumwaachia Nyerere aongoze.Elimu na kukubalika kwake kwa waingereza vilichangiaKulingana na mahojiano ya Tundu Lissu na mtangazaji wa ITV , Lissu alidai mara ya Mwisho CCM kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti kwa ushindani ilikuwa mwaka 1954 kati ya Julius Nyerere na Abdulwahid Sykes. Ambapo Nyerere alimbwaga Abdulwahid Sykes. Uchaguzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Anatoglou.
Swali la msingi ilikuwa ni kwamba ilikuwaje Nyerere amshinde Sykes ambaye alikuwa ni mtoto wa hapa Dar na baba yake alikuwa kiongozi wa TAA hapo kabla. Yani Nyerere kutoka Musoma aliwezaje kuwashawishi wajumbe wamchague yeye wamuache Sykes wa Dar.
Tusaidiane mbinu alizotumia Nyerere kushinda uchaguzi huo maana haikuwa rahisi.
Afya ya akili ikiwa TIMAMU uwepo wa Bi Wickens ikulu wakati wa Nyerere tukiwa tushapata Uhuru lazima utiliwe Mashtaka, lazima uzue maswali mengiUnapotosha Sana. Unataka kuniambia waingereza ndio walimchagua Nyerere pale Anatoglou?. Kuhusu Wickens yule alikuwa Katibu Mukhtasi na Wala hakuwa na mamlaka yoyote. Kumbuka baada tu ya kupata uhuru wasomi walikuwa wachache hivyo tulikopa waingereza watusaidie.
Somo: Wazee waliopigania uhuru hawakuwa na udini, ukabila wala ushamba mamboleo wa huyu wa kijijini huyu wa mjini bali walikuwa wazalendo kuchagua kiongozi wa nchi. Nyerere kijana msomi alikuwa na uelewa mkubwa. 🙏🙏🙏Kulingana na mahojiano ya Tundu Lissu na mtangazaji wa ITV , Lissu alidai mara ya Mwisho CCM kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti kwa ushindani ilikuwa mwaka 1954 kati ya Julius Nyerere na Abdulwahid Sykes. Ambapo Nyerere alimbwaga Abdulwahid Sykes. Uchaguzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Anatoglou.
Swali la msingi ilikuwa ni kwamba ilikuwaje Nyerere amshinde Sykes ambaye alikuwa ni mtoto wa hapa Dar na baba yake alikuwa kiongozi wa TAA hapo kabla. Yani Nyerere kutoka Musoma aliwezaje kuwashawishi wajumbe wamchague yeye wamuache Sykes wa Dar.
Tusaidiane mbinu alizotumia Nyerere kushinda uchaguzi huo maana haikuwa rahisi.
Mpasuko wa kidini unaoonekana kutoka kwa wachangia mada ni ishara ya wazi ya tatizo tulilonalo Tanzania kwa sasa. Ukiangalia hapa utaona wanaotukuza ushindi wa nyerere kwenye huo uchaguzi wengi wana msukumo wa kidini wakati upande mwengine pia una hoja zinazoashiria msukumo kama huo ama malalamiko ya udini dhidi ya nyerere na tawala yake.Kulingana na mahojiano ya Tundu Lissu na mtangazaji wa ITV , Lissu alidai mara ya Mwisho CCM kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti kwa ushindani ilikuwa mwaka 1954 kati ya Julius Nyerere na Abdulwahid Sykes. Ambapo Nyerere alimbwaga Abdulwahid Sykes. Uchaguzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Anatoglou.
Swali la msingi ilikuwa ni kwamba ilikuwaje Nyerere amshinde Sykes ambaye alikuwa ni mtoto wa hapa Dar na baba yake alikuwa kiongozi wa TAA hapo kabla. Yani Nyerere kutoka Musoma aliwezaje kuwashawishi wajumbe wamchague yeye wamuache Sykes wa Dar.
Tusaidiane mbinu alizotumia Nyerere kushinda uchaguzi huo maana haikuwa rahisi.
Huyu ndio kiboko ya wagalatia, wanaufyata akitajwa tu, wanaishia kumtusi na kejeli wakishindwa hoja, wa kubishana nae hajazaliwaBingwa wa historia ya uhuru ni Alama Mohamed Said
Nyerere alikuwa na kipaji cha kuongea na kujieleza mbele za watu.Kulingana na mahojiano ya Tundu Lissu na mtangazaji wa ITV , Lissu alidai mara ya Mwisho CCM kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti kwa ushindani ilikuwa mwaka 1954 kati ya Julius Nyerere na Abdulwahid Sykes. Ambapo Nyerere alimbwaga Abdulwahid Sykes. Uchaguzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Anatoglou.
Swali la msingi ilikuwa ni kwamba ilikuwaje Nyerere amshinde Sykes ambaye alikuwa ni mtoto wa hapa Dar na baba yake alikuwa kiongozi wa TAA hapo kabla. Yani Nyerere kutoka Musoma aliwezaje kuwashawishi wajumbe wamchague yeye wamuache Sykes wa Dar.
Tusaidiane mbinu alizotumia Nyerere kushinda uchaguzi huo maana haikuwa rahisi.
Mbona umemtaja Joan tu, umemwacha Amir Jamal, Al nNoor Kassum, Derick Brycesson, Maana wote hao walikuwa ni watu muhimu sana kwa Nyerere, kuliko hata Joan, au kwa sababu ni Mzungu na ni Mwingerza,Binafsi niligunduwa baadae kumbe aliyetuzidi wote ujanja alikuwa Muingereza, hata Ikulu Waingereza walimweka Nyerere kama kanyaboya tu.
. Mtawala wa Ikulu alikuwa mwanamke wa Kiingereza aitwae Joan Wicken.
Unalijuwa hilo?
Kura hazikupigwa nchi nzima kwa kuwa chama ndio kilikuwa kinaanza waliopiga kura ni wale waanzilishi 17 kuwa nani miongoni mwao awe rais wa TANU.Nyerere alikuwa msomi ndiye mtanganyika wa kwanza kuwa na Master degree hivyo waliona kwa usomi wake, ujengaji hoja ndiye angeweza kuwavusha.Kulingana na mahojiano ya Tundu Lissu na mtangazaji wa ITV , Lissu alidai mara ya Mwisho CCM kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti kwa ushindani ilikuwa mwaka 1954 kati ya Julius Nyerere na Abdulwahid Sykes. Ambapo Nyerere alimbwaga Abdulwahid Sykes. Uchaguzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Anatoglou.
Swali la msingi ilikuwa ni kwamba ilikuwaje Nyerere amshinde Sykes ambaye alikuwa ni mtoto wa hapa Dar na baba yake alikuwa kiongozi wa TAA hapo kabla. Yani Nyerere kutoka Musoma aliwezaje kuwashawishi wajumbe wamchague yeye wamuache Sykes wa Dar.
Tusaidiane mbinu alizotumia Nyerere kushinda uchaguzi huo maana haikuwa rahisi.
Kile kitabu ni rejea ya Madrsaa,yaani ukisoma Quran unatakiwa kusoma na kitabu cha Mohamed Said kwa Waislam wa kanda hii ya East Africa.Jana ulileta ngojera zake na kitabu cha Boss wake
Economist,
Nyerere hakufanya chochote.
Katika mazungumzo yaliyofanyika nyumbani kwa Hamza Mwapachu Nansio Ukerewe kati ya Mwapachu Abdul Sykes na Ali Mwinyi Tambwe walikubaliana kuwa Nyerere achaguliwe kuwa President na mwaka unaofuatia 1954 TANU iundwe kwa nia ya kudai uhuru na Julius Nyerere aongoze harakati hizo.
Kwa nini walikwenda kwa Hamza Mwapachu?
Sababu yeye ndiye alikuwa kiongozi wa harakati hizi za kuwaleta vijana wasomi ndani ya TAA kwa nia ya kukibadili chama kiwe chama cha siasa kamili wadai uhuru.
Hamza Mwapachu akamwambia Abdul Sykes amsaidie Nyerere achaguliwe ili mkakati huu wao ufanikiwe.
Aliporudi Dar es Salaam Abdul alifanya kama walivyokubaliana Nansio na Nyerere akapita uchaguzi ule lakini kwa kura chache sana.
Angalia video:
View: https://youtu.be/QKV-whFBnWY?si=ZtnHJjhUW1QvNWbB
Yaani Nyerer ajibu hoja za kipuuzi,halafu Nyerere alikuwa wakati sheikh atao kitabu alikuwa hai? mbona hakujibu?