Ilikuwaje Nyerere akamshinda Sykes?

Ilikuwaje Nyerere akamshinda Sykes?

Kulingana na mahojiano ya Tundu Lissu na mtangazaji wa ITV , Lissu alidai mara ya Mwisho CCM kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti kwa ushindani ilikuwa mwaka 1954 kati ya Julius Nyerere na Abdulwahid Sykes. Ambapo Nyerere alimbwaga Abdulwahid Sykes. Uchaguzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Anatoglou.

Swali la msingi ilikuwa ni kwamba ilikuwaje Nyerere amshinde Sykes ambaye alikuwa ni mtoto wa hapa Dar na baba yake alikuwa kiongozi wa TAA hapo kabla. Yani Nyerere kutoka Musoma aliwezaje kuwashawishi wajumbe wamchague yeye wamuache Sykes wa Dar.

Tusaidiane mbinu alizotumia Nyerere kushinda uchaguzi huo maana haikuwa rahisi.
Kipindi hicho walikuwa wakitumia akili na mbinu za kijasiri kupambana mkolono mweupe. Sykes alikuwa jasiri ila hakuwa na mbinu yaani elimu ya kupambana na mkoloni hivyo Nyerere alimzidi hapo tu. Ingekuwa Leo hii kwa jinsi waislamu wanavyokumbatia takataka iidwayo dini badala ya akili nyerere angeshindwa asubuhi tu. Huyo mama yenu kwasababu ya dini anauza nchi kwa warabu
 
Madrasa ni ya watoto wadogo. Niko nao next door and some families are my close friends. Hakuna kitu kama hicho ulichokisema. Nina katoto ka shemeji zangu 5 yrs kanasoma madrasa, naona anachofundishwa na vibao vya kizamani vya kuandikia , ndio madaftari.
Kuna jirani a friend of mine anasema kisiri siri kuwa mwanangu mimi haendi huko hakuna cha maana kwake katika ulimwengu wa sasa. Wako shule za kawaida English medium!
Madrasa ndipo ulipopata neno madarasa.

Kwa kukujuza tu, neno shule ni Kijerumani.

Hapo unapopaona ni nwanzo tu, wanaohitimu hapo wanapelekwa kwenye madrasa zingine kwa "takhasusi".
. Huyo rafiki yako na wewe hajaelimika. Fanya urafiki na huyo ustadh akueleze wabafubzi wanaohitimu hapo wanaendelezwa wapi? Kuhitimu Kiislam siyo kama kuhitimu shule. Uliza tukufahamishe.
 
Kipindi hicho walikuwa wakitumia akili na mbinu za kijasiri kupambana mkolono mweupe. Sykes alikuwa jasiri ila hakuwa na mbinu yaani elimu ya kupambana na mkoloni hivyo Nyerere alimzidi hapo tu. Ingekuwa Leo hii kwa jinsi waislamu wanavyokumbatia takataka iidwayo dini badala ya akili nyerere angeshindwa asubuhi tu. Huyo mama yenu kwasababu ya dini anauza nchi kwa warabu
Volo...
Sikulaumu kwa sababu huijui historia ya TANU.

Abdul kazaliwa ndani ya nyumba ya siasa.

Baba yake alikutana na Dr. Kwegyir Aggrey 1924 na ndiye aliyemshawishi kuunda jumuiya ya Waafrika wa Tanganyika.

Kleist Sykes akaunda African Association 1929 kisha akaunda Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) 1933.

Taasisi hizi mbili zote zilipambana na Muingereza.

Abdul Sykes akiwa KAR Burma Infantry 6th Batallion alihamasisha askari wenzake bado wako vitani WWII waunde TANU kudai uhuru.

Abdul alikuwa General Secretary wa Dar-es-Salaam Dockworkers Union 1949.

Abdul Sykes na Dr. Vedasto Kyaruzi ndiyo viongozi vijana waliobadili mwelekeo wa TAA 1950.

Abdul kakutana na Jomo Kenyatta, Peter Mbiu Koinange, Fred Kubai, Bildad Kaggia, Paul Ngei, Kungu Karumba Nairobi 1950 kujadili mbinu za kuunganisha TAA na KAU kuwakabili Waingereza.

Abdul ndiye aliyeunda TAA Political Subcommittee wajumbe wakiwa yeye mwenyewe, Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Said Chaurembo, Hamza Mwapachu, Steven Mhando na John Rupia.

Hotoba ya Nyerere UNO 1955 Abdul alikuwanayo toka 1950.

Tujifunze historia za hawa wazalendo kabla ya kujadili tusikae tukidhani kuwa sisi tunaijua historia ya uhuru.
 
August,
Nisome upya ukiwa umetulia.
"1953 Abdul Sykes alikuwa amepata nafasi ya kuingia Princeton University, New Jersey.

Yeye alikuwa akasome Makerere lakini Waingereza wakamtia KAR na kumpeleka Burma"

Lakini hakwenda Princeton.
Abdul Sykes alikuwa A student. Tujifunze historia za hawa wazalendo kwanza ndipo. tujadili"

Kwa hiyo Mzee wetu Abdul alikuwa "A" student na alikuwa aende Princeton , University, New Jersey, wakati Mvaa Kaptula yeye alikuwa aende Makerere University na baadae ndio akapata fursa ya Edinburgh, Scotland.
Sasa labda utueleze Mzee wetu alikuwa akitokea Shule ipi wakati huo kwenda Princeton, Maana huyu wa Makerere yeye akitokea Shule moja huko Tabora.
 
Unauharibu mjadala kwa lugha za kihuni.

Mbona unaleta matusi kwa Julius Nyerere kuhusu nguo?

Hizi ghadhabu za nini?

Tulia ujifunze historia ya Earle Seaton na Abdul Sykes iliyoishia na Princeton na vipi Earle Seaton alivyochangia waraka wa Constitution Development Committee ambao ndiyo huo uliosomwa na Nyerere UNO 1955.

Mimi si mtu wa matusi.

Mimi nimebahatika kufunguliwa Nyaraka za Sykes na humo ndimo niliposoma haya ninayokuelezeni hapa.

La wewe haya si muhimu unataka kujadili kaptula mimi siko tayari.

Abdul Sykes akivaa kaptula na shati jeupe akienda kazini - uniform ya Market Master, Kariakoo Market.

First Class Matriculation Kitchwele Boys Government School 1942.

WWII Burma 1942 "consicription",akiwa na umri wa miaka 18.

Mafunzo ya jeshi Lower Kabete, Kenya.

Mama yake Bi. Mruguru bint Mussa akilia hadi anaanguka chini amezimia.

Mtoto anakwenda vitani kufa.
 
Madrasa ndipo ulipopata neno madarasa.

Kwa kukujuza tu, neno shule ni Kijerumani.

Hapo unapopaona ni nwanzo tu, wanaohitimu hapo wanapelekwa kwenye madrasa zingine kwa "takhasusi".
. Huyo rafiki yako na wewe hajaelimika. Fanya urafiki na huyo ustadh akueleze wabafubzi wanaohitimu hapo wanaendelezwa wapi? Kuhitimu Kiislam siyo kama kuhitimu shule. Uliza tukufahamishe.
All said is fine, the bottom line is ni elimu "ahera" and not elimu dunia! This is my point of contention! Elimu dunia hamja ipa kipaumbele mpaka leo! Mpaka leo! Mpaka leo!

Niko hapa Tanga, mtoto anaweza kupigwa mpaka kufa akikosa Madrasa, (nilikutana na kijana wa miaka kama 25 anampiga mtoto wake "kishenzi", nikamshika mkono what are you doing, akasema hataki kwenda madrasa) lakini akikosa kwenda shule za kawaida za serikali, mzazi yuko comfortable kabisa ,anasema aende asiende shauri lake as long as amekwenda Madrasa!

Enjoy your day! I am heading for Dar today! Nitakusoma nikiwa njiani
 
August,
Unauharibu mjadala kwa lugha za kihuni.

Mbona unaleta matusi kwa Julius Nyerere kuhusu nguo?

Hizi ghadhabu za nini?

Tulia ujifunze historia ya Earle Seaton na Abdul Sykes iliyoishia na Princeton na vipi Earle Seaton alivyochangia waraka wa Constitution Development Committee ambao ndiyo huo uliosomwa na Nyerere UNO 1955.

Mimi si mtu wa matusi.

Mimi nimebahatika kufunguliwa Nyaraka za Sykes na humo ndimo niliposoma haya ninayokuelezeni hapa.

La wewe haya si muhimu unataka kujadili kaptula mimi siko tayari.

Abdul Sykes akivaa kaptula na shati jeupe akienda kazini - uniform ya Market Master, Kariakoo Market.

First Class Matriculation Kitchwele Boys Government School 1942.

WWII Burma 1942 "consicription",akiwa na umri wa miaka 18.

Mafunzo ya jeshi Lower Kabete, Kenya.

Mama yake Bi. Mruguru bint Mussa akilia hadi anaanguka chini amezimia.

Mtoto anakwenda vitani kufa.
Asante Kwa hiyo historia, maana Shule Sisi tukifikiria zilikuwa Tabora, Kwa Bi Mruguru Binti Mussa, kumbe hata DAR Shule zilikuwepo.
 
Kulingana na mahojiano ya Tundu Lissu na mtangazaji wa ITV , Lissu alidai mara ya Mwisho CCM kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti kwa ushindani ilikuwa mwaka 1954 kati ya Julius Nyerere na Abdulwahid Sykes. Ambapo Nyerere alimbwaga Abdulwahid Sykes. Uchaguzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Anatoglou.

Swali la msingi ilikuwa ni kwamba ilikuwaje Nyerere amshinde Sykes ambaye alikuwa ni mtoto wa hapa Dar na baba yake alikuwa kiongozi wa TAA hapo kabla. Yani Nyerere kutoka Musoma aliwezaje kuwashawishi wajumbe wamchague yeye wamuache Sykes wa Dar.

Tusaidiane mbinu alizotumia Nyerere kushinda uchaguzi huo maana haikuwa rahisi.
Somo: Wazee waliopigania uhuru hawakuwa na udini, ukabila wala ushamba wa huyu wa kijijini huyu wa mjini bali waliangalia
Nyerere ndiye aliyeanzisha udini. Alikiri mwenyewe.
Aaaah...wapi alikirii naomba rejea! Maana kama ni tuhuma za kujaza Wakatoliki kwenye cabinet alijibu. Rejea mkutano wa Mwalimu Nyerere na Klabu ya Waandishi wa Habari Tanzania, Machi, 1995 Hoteli ya Kilimanjaro. Alisema aliposikia tuhuma hizo aliagiza uchunguzi.

" Nilipofanya uchunguzi nikagundua Wakatoliki tulikuwa mimi na Sir George Kahama. Tena wakati huo mwenzangu alikuwa ameendelea ana mabibi wawili...kicheko!," Nyerere katika Hotuba yake ya Nyufa mwaka 1995.

Tuache udini, Sisi ni Taifa.🙏🙏🙏
 
All said is fine, the bottom line is ni elimu "ahera" and not elimu dunia! This is my point of contention! Elimu dunia hamja ipa kipaumbele mpaka leo! Mpaka leo! Mpaka leo!

Niko hapa Tanga, mtoto anaweza kupigwa mpaka kufa akikosa Madrasa, (nilikutana na kijana wa miaka kama 25 anampiga mtoto wake "kishenzi", nikamshika mkono what are you doing, akasema hataki kwenda madrasa) lakini akikosa kwenda shule za kawaida za serikali, mzazi yuko comfortable kabisa ,anasema aende asiende shauri lake as long as amekwenda Madrasa!

Enjoy your day! I am heading for Dar today! Nitakusoma nikiwa njiani
Retired...
Tunathamini sana elimu.

EAMWS ilikuwa inajenga Chuo Kikuu 1968.

EAMWS ikapigwa marufuku na serikali ikaunda BAKWATA.

Waislam hawakutakiwa wapate elimu.

Unajua historia ya Wizara ya Elimu na Waislam?

Historia ya NECTA na Waislam?
 
Nakubaliana na wewe, lakini njoo Tanga particularly kwa marafiki zangu wadigo ndiyo utaona ukweli wa ninachokisema>>>>>>> na bado kuna watu wanawapeleka watoto kwenye "VYUO" vipo hapa Tanga wanafundishwa vitu vya ajabu! ...... Mtoto anamaliza darasa la saba analetwa pale. Ukimuuliza unasoma nini cha kukusaidia kesho mtaani, anasema kuwa mwalimu wa madarasa na fundamentalism in religion!

Wanafundishwa ujasiri wa kumwangusha ng'ombe...kijana ananiambia kwa kinywa chake! UKAKAMAVU wa kuhimili lolote katika kutetea dini...........wengine ni hawa ambao siyo wa dini yetu ni ni makafiri ...na vitu kama hivyo. Hakuna skills wanazofundishwa!
Nitakutajia chuo inbox ukipenda
 
Ikulu yenyewe ilikuwa chuo cha Waislam, Mjerumani akaifanya ikulu.
Mambo ni mengi Faiza, ila ndio lidunia lilivyo, vita vilipigwa ili watu wawe Waislam na miji ilitekwa ikasilimishwa na pia vita vilipigwa ili watu wawe wakristo miji ikatekwa vile vile (hakuna jipya) enzi hizo za Mitume. Chamsingi tusibebe KINYONGO, japo upande wa pili KISASI NI HALAL! Ngoma ngumu hii!
 
Kipindi hicho walikuwa wakitumia akili na mbinu za kijasiri kupambana mkolono mweupe. Sykes alikuwa jasiri ila hakuwa na mbinu yaani elimu ya kupambana na mkoloni hivyo Nyerere alimzidi hapo tu. Ingekuwa Leo hii kwa jinsi waislamu wanavyokumbatia takataka iidwayo dini badala ya akili nyerere angeshindwa asubuhi tu. Huyo mama yenu kwasababu ya dini anauza nchi kwa warabu
Hapana. Huo ulikuwa ni mpango maalum uliosukwa na Waislam.

Hiyo kura ingefanywa inavyotakiwa nyerere, wakuja, angeshindwa, na mtoto qa mjini Abdul Sykes. Mipango mingi ingeharibika. Sababu za kufanyabhivyi zipo nyingi, sikiliza video hiyo juu hapo.
All said is fine, the bottom line is ni elimu "ahera" and not elimu dunia! This is my point of contention! Elimu dunia hamja ipa kipaumbele mpaka leo! Mpaka leo! Mpaka leo!

Niko hapa Tanga, mtoto anaweza kupigwa mpaka kufa akikosa Madrasa, (nilikutana na kijana wa miaka kama 25 anampiga mtoto wake "kishenzi", nikamshika mkono what are you doing, akasema hataki kwenda madrasa) lakini akikosa kwenda shule za kawaida za serikali, mzazi yuko comfortable kabisa ,anasema aende asiende shauri lake as long as amekwenda Madrasa!

Enjoy your day! I am heading for Dar today! Nitakusoma nikiwa njiani
Ahera unajtaka elimubya nini huki?

Elimu ya Qur'an ni mwongozo wa maisha yako hapa duniani.
. Umeshaisoma Qur'an? Au unabishana juhusu kitu hukiekewi? Huku unajifanya unakielewa?

Qur'an ni kwa wslimwengu wote sio kqa ajili ya qatu fulani tu, Waliokutisha kuisoma hawakutaka upate elimu iliyo bora kuliko zote.

Hujachelewa lakini, elimu haina mwisho.
 
Unakua rais,unavunja taasisi ya waislam ya afrika mashariki,serikali yako,kwa miaka 25 haiteui waziri wa elimu muislam ila unateua padre kuwa waziri,na wanaofaulu na kupata elimu za juu ni watu wa dini yako kwa 75+%,mdini nani,nani mpandaji wa mbegu ya udini!?
Kama nimekuelewa hii ni chanzo cha hizi hisia za udini lakini je ndo tubakie hapohapo? tunafanyaje kutoka hapo?
 
Ndugu huu ni ushauri pengine ni nje ya mada. Mgalatia mchukulie kama ndugu yako. Safari yetu ni moja tunamtafuta Mungu, tufike kwake tukiwa wakamilifu. Labda tumetofautiana usafiri tunaotumia lakini dhamira yetu ni moja.

Tunaamini katika Mungu, basi mtangulize yeye kwanza kwenye kila jambo. Dini isiwe sababu ya kumuona John ni kafiri, Jesca ni wa motoni. Kama dini fulani ingekua ndio tiketi ya kuiona pepo bila kuangalia uhalali wa matendo basi maisha yetu ya kiimani yangekuwa mepesi sana.

Sio lazima unijibu hili swali ila fanya hivi, Jirani yako hana dini na hajawahi kumkufuru Mungu kwa namna yoyote ile amekuwa akiishi katika matendo ya kupendeza, kusaidia maskini, haibi, hadhulumu, hasemi uongo nk..lakini ni hana dini.

Wewe unaamini dini yako ni ya haki na kweli unaswali swala tano sawa, lakini wewe ni mwizi, jambazi, mzinzi, unadhulumu yatima na Wajane nk lakini una dini na unaswali fresh tu.

Narudia tena sio lazima unijibu ila jiulize ni yupi ana nafasi mbele za Mungu? Kwamba atamchoma moto Jirani kwa kuwa hakuwa wa dini fulani na atakuchagua wewe kwa kuwa wa dini fulani?

Mwenyezi Mungu ameweka kitu ndani yetu, uwe una dini usiwe na dini, uwe unaamini Mungu uwe haumini ila unapotenda jambo jema unajua na unapotenda jambo baya unajua. Labda ndio tunda la mti wa mema na mabaya.

Unaweza kukutana na comments zangu kwenye mijadala mbalimbali hapa Jf hasa ya kidini ila sijawahi kumchukia mtu asiye wa imani yangu kwa namna yoyote ile. Nikimchukia Muislamu ni sawa na nimemchukia rafiki yangu wa toka utotoni, ni sawa nimewachukia Mama zangu wadogo, Dada zangu na wadogo zangu.

Nikiona kuna mtu anatumia dini kuhubiri chuki, anatumia dini kugawa watu huwa lazima nimjibu, japo sipendagi muendelezo naamini jibu langu moja au swali langu linatosha umeshindwa kubadilika basi Mungu awe pamoja nasi.

Leo unamuita Mgalatia, Kesho kafiri, kesho wanaajiri wao tu, wiki ijayo serikali inawapendelea yanaanza machafuko.
Mungu wetu ni wa wote, tujitahidi kupendana. Kukinzana mawazo kupotu lakini kusizae chuki. Kama wote wote tunatoa damu nyekundu, haijalishi rangi zetu, dini zetu. Basi sisi ni wa baba mmoja.
Haya ungeambia wagalatia wenzako kwanza, kutwa kucha wao ni kutafuta sababu za kuusema uislam, na kujidai wao ni wasomi sanaaa kuliko waislam,

Uvumilivu wa waislam kwa miaka sasa usitumike kama ni unyonge wao, wagalatia ndio mabingwa wa kuchukua vipande vya aya na hadithi dhaifu kwa lengo la kuutusi uislam na kuwaudhi waislam

Na ndiyo maana ALLAH mtukufu alitwambia ndani ya quran sura ya 3 aya ya 111 kwamba "hawatawadhuru isipokuwa maudhi tu"

Na hakuna yeyote afrahiye kashfa,
Uislam ni mfumo kamili wa maisha kama ulivyosema huwezi kuwa unasali na huku unadhulumu halafu uwe mwema never,

Na ALLAH mtukufu amesema hayo ndani ya quran sura ya 2 aya ya 177 kwamba "Si katika wema kuelekeza uso mashariki na magharibi (yaani kusali)lakini wema ni kumuamini mwenyeziMungu na siku ya mwisho na malaika wake na vitabu vyake na mitume wake na kutoa mali juu ya kuwa unaipenda kwa kuwapa nduguzo, na yatima, na masikini, na walioharibikiwa na njia, na waombaji, na kusimamisha sala na kutoa zaka na kutekeleza ahadi unapoahidi na kusubiri kwenye shida, hao ndio walioamini na ndio wacha Mungu" .

Kwahiyo dhana yako ya kwamba waislam wanajiona watukufu kwa sababu tu ya kusali sio kweli tumekatazwa kufanya mabaya yote kama ulivyoainisha.
Wanaofanya hayo huko kwenu pia wapo, kila siku tunasikia watu wamedhulumiwa ardhi, nyumba, mali na wadhulumaji ni wakristo na waislamu na wasio na dini pia.

Ukiniheshimu nitakuheshimu,
Ukinipenda nitakupenda,
Ukinivumilua nitakuvumilia,
Ila ukinitukana nitakutukana na ukinipiga nitakupiga
 
Mkuu, vuta subra. Kitabu cha kumbukumbu za Joan Wickens kilichozinduliwa DSM 2023 kitaachiliwa na wachapishaji Oxford University Press mwaka 2036 (miaka 30 baada ya kifo cha Joan).

Omba uhai tu na kumbukumbu njema ya bandiko lako. 🤔😄

Asante sana Mkuu
 
Kuna watu walitaka kina Hoya Hoya ndio waongoze. Kuna mambo yanataka watu wenye uwezzo na akili. Hoya Hoya tuendelee kushangilia Simba na Yanga.
Sio kuongoza nchi. Sehemu ya kutafakari, tunakimbilia kwa waganga wa kienyeji watupe maarifa 🤣 🤣 🤣 🤣 .
Kalagabaho kina sisi. Hoyaa Hoyaaa

Kweli kabisa mkuu, Hoya Hoya hawafai.
 
Back
Top Bottom