Ilikuwaje Rais Samia akamwamini asiye mwaminifu?

Ilikuwaje Rais Samia akamwamini asiye mwaminifu?

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Ikumbukwe, hata Hayati alimtema huyo mtu baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.

Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!

Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.

20221003_102235.jpg

20221003_102249.jpg
 
Ikumbukwe, hata Hayati alimtema huyo mtu baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.

Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!

Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
View attachment 2375504
View attachment 2375505
Alafu mbona Balozi Mulamula kaegemea sana upande wa Baiden kuliko upande wa Kamala ambae ni Mwanamke mwenzie!!??
 
Huu uamuzi wake ndio unazidi kumuonesha vile alivyo Rais asiyejitambua, ana pretend kutaka mtu wa kufanya nae kazi kwa kuangalia experience, halafu akishampata anakuja kumuondoa kwa kukataa kukubaliana na msimamo wa wengine, Rais anayependa kuzungukwa na kundi la wajinga.
 
Viongozi wengi wa Kiafrika hupenda kufanya kazi na wale wasaidizi wenye akili za kichawa! Ukiwa ni mtu smart na usiyependa uswahili na ubabaishaji, wanakuona snitch.
Kitu ambacho ni kibaya sana kwasababu hawapati mawazo kinzani.

Hili umesema ni kweli,angalia hata Marais wote wa hapa Tanzania tu huwa wanateua ma makamu wa rais wa aina gani.

Huwa wanateua wale wenye uwezo mdogo sana kisiasa.
 
Back
Top Bottom