Ilikuwaje Rais Samia akamwamini asiye mwaminifu?

Ndiyo hasara ya kuwa na usalama wa Taifa ambao kazi yake ni kuilinda CCM ibakie madarakani badala ya kulilinda Taifa.
Kati ya Taasis zinazotakiwa kuvunjwa na kuundwa upya hii inaongoza

Kuna mawaziri na manaibu waziri kwenye wizara ni vichefuchefu kweli na hawana mchango wowote positive kwenye maendeleo ya sekta zao ila kila ukiona cabinet reshuffle unawakuta wapo palepale wakati kuna wabunge wengi wenye uwezo mkubwa wanaachwa
 
Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile.
20220903_063938.jpg
 
Kati ya Taasis zinazotakiwa kuvunjwa na kuundwa upya hii inaongoza

Kuna mawaziri na manaibu waziri kwenye wizara ni vichefuchefu kweli na hawana mchango wowote positive kwenye maendeleo ya sekta zao ila kila ukiona cabinet reshuffle unawakuta wapo palepale wakati kuna wabunge wengi wenye uwezo mkubwa wanaachwa
Mbunge gan mwenye uwezo kaachwa?
 
Back
Top Bottom