Ilikuwaje Rais Samia akamwamini asiye mwaminifu?

Ilikuwaje Rais Samia akamwamini asiye mwaminifu?

Ikumbukwe, hata Hayati alimtema huyo mtu baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.

Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!

Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.

View attachment 2375504
View attachment 2375505
I don't believe this is true!.
P
 
Piga chini huyo akijifanya mkubwa kuliko Rais.
Usichokijua the outgoing Minister ana exposure kubwa sana kukuzidi wewe na amekuwa ni mwanadiplomasia tokea akiwa mdogo mpaka leo amezeeka.

Kuhusu hoja yako, hatuna uhakika ni kweli alijifanya Mkuu kuliko Mkubwa wake hii ni hearsay tuu maana Mkuu hajasema hivyo.
 
Huu uamuzi wake ndio unazidi kumuonesha vile alivyo Rais asiyejitambua, ana pretend kutaka mtu wa kufanya nae kazi kwa kuangalia experience, akishampata anakuja kumuondoa kwa kukataa kukubaliana na msimamo wa wengine, Rais anapenda kuzungukwa na kundi la wajinga.
Duu [emoji40][emoji40][emoji40]
 
Ndiyo hasara ya kuwa na usalama wa Taifa ambao kazi yake ni kuilinda CCM ibakie madarakani badala ya kulilinda Taifa.
Nilipendekeza humu kuhusu kuifanyia mabadiliko idara hii kwa lengo jema kabisa na wapo waloniunga mkono.

Lakini kama kawaida huwa wanasikia na kuamua vyao.

"Nchi ngumu hii"- Jenerali Ulimwengu.
 
Usichokijua the outgoing Minister ana exposure kubwa sana kukuzidi wewe na amekuwa ni mwanadiplomasia tokea akiwa mdogo mpaka leo amezeeka.

Kuhusu hoja yako, hatuna uhakika ni kweli alijifanya Mkuu kuliko Mkubwa wake hii ni hearsay tuu maana Mkuu hajasema hivyo.
Exposure bila maarifa hukufanya uonekane wa kawaida sana.

Waziri wa mambo ya nje na wizara yake ni alama (image ya nchi) huko nje na hutakiwa kuwa amesimama.

Ila kwenye hili (la kutolewa uwaziri) hakuna anaefahamu chanzo.
 
Kitu ambacho ni kibaya sana kwasababu hawapati mawazo kinzani.

Hili umesema ni kweli,angalia hata Marais wote wa hapa Tanzania tu huwa wanateua ma makamu wa rais wa aina gani.

Huwa wanateua wale wenye uwezo mdogo sana kisiasa.
Yes hata tuliye nae katokea kwenye mfumo huo huo, kwaiyo ni rahisi kupelekeshwa kama gari bovu.

Angalia yule DR wa Atomic sometimes nashindwa kumuelewa ongea yake na ukimya wake kama MPOZA😂
 
Huu uamuzi wake ndio unazidi kumuonesha vile alivyo Rais asiyejitambua, ana pretend kutaka mtu wa kufanya nae kazi kwa kuangalia experience, akishampata anakuja kumuondoa kwa kukataa kukubaliana na msimamo wa wengine, Rais anapenda kuzungukwa na kundi la wajinga.
Mkuu, jaribu sana wakti mwingine kutumia "diplomatic language" husaidia sana afya ya mijadala.

Ujumbe waweza kuwa ni huohuo ile uko kwenye aina fulani ya maneno.

Labda nikuulize ni wapi wadhani wameshindwa kukubaliana maana ni kweli huyo mama ni mzoefu.
 
Mkuu hayati alimkataa kitambo baada ya kugundua ana uraia U.S ila BI KIZIMKAZI alikuwa anafanya vitu kama vile anamkomoa hayati, kana kwamba hayati alikuwa anawaonea.
Kwani ni peke yake kwenye serikali wenye uraia wa US?

Hata huyu naniliu si ana uraia wa Ukerewe au aliukana?
 
Mkuu hayati alimkataa kitambo baada ya kugundua ana uraia U.S ila BI KIZIMKAZI alikuwa anafanya vitu kama vile anamkomoa hayati, kana kwamba hayati alikuwa anawaonea.
Yete alijua Urais ni mwepesi tu na akaingiza watu wote wapuuzi ambao mwenzake aliwakataa! Alifanya mambo kwa sifa kumprove wrong JPM wakati hata viatu vyake havimtoshi!
 
Back
Top Bottom