404 Pages
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,703
- 2,963
TrueViongozi wengi wa Kiafrika hupenda kufanya kazi na wale wasaidizi wenye akili za kichawa! Ukiwa ni mtu smart na usiyependa uswahili na ubabaishaji, wanakuona snitch.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueViongozi wengi wa Kiafrika hupenda kufanya kazi na wale wasaidizi wenye akili za kichawa! Ukiwa ni mtu smart na usiyependa uswahili na ubabaishaji, wanakuona snitch.
Alikataa tozoTatizo viongozi wateule wote wanatakiwa kufanya kile rais anataka. Ukijaribu kuja na kitu kipya au ukafanya kazi vile unaona inafaa kufanyika utaishia kupigwa siasa tuu
Hii nchii siasa zimeshazidi utendaji kazi
Alafu mbona Balozi Mulamula kaegemea sana upande wa Baiden kuliko upande wa Kamala ambae ni Mwanamke mwenzie!!??
Weka ushaidi? Nikionaga jitu linamshabikia mwendazake uwa nalidharau moja kwa moja.Mkuu hayati alimkataa kitambo baada ya kugundua ana uraia U.S ila BI KIZIMKAZI alikuwa anafanya vitu kama vile anamkomoa hayati, kana kwamba hayati alikuwa anawaonea.
Hivi wewe unahitaji ushahidi gani kwamba Samia alifanya mambo mengi kwa mihemko!? Kama wewe usiyemshabikia Mwendazake waache pia wanaomshabikia na uhuru wao! Samia alijua nchi hii kuendesha ni rahisi tu kama kukanda unga wa chapati! Na alijua akienda sana nje ya nchi ndo atafanya maajabu kaenda Marekani zaidi ya wiki mbili na royal tour yake fake lakini kama unavyoona hakuna jipya fully maruweruwe!Weka ushaidi? Nikionaga jitu linamshabikia mwendazake uwa nalidharau moja kwa moja.
Hivi Kati ya wazazi wako wawili hakuna yeyote anayemshabikia JPM?! Au tuseme hata shangazi, mjomba, mtoto, mume/mke au Ndugu yeyote??!!Weka ushaidi? Nikionaga jitu linamshabikia mwendazake uwa nalidharau moja kwa moja.
Tatizo linaanziaga hapo kwenye hiyo story ya boss. Lakini ukiwa leader unaowaongiza will never wana outshine u baadala yake watajituma kwa ajili yako.Hii ni title research au ni conclusion ya research
Watu wengi wanaongelea hili ingawa inajulikana kabisa kuwa "do not outshine your boss"
Kauli gani hii unaitoa dhidi ya Rais wetu ambaye ni Head of state and commander in chief of our armed forces?!?! Jamani, jamani, jamani tuwe na staha kwa Rais wetu...tuache utoto...freedom of expression tuliyonayo isivuke mipaka...Huwezi kumpenda JPM maana wewe unaukabila na ujinga kichwani! Sasa kama JPM ni kiazi Samia atakuwa nani? Si ndi kiazi kabisa kilicho oza!
Basi wale kondpo wakaimbaIkumbukwe, hata Hayati alimtema huyo mtu baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.
Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!
Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
View attachment 2375504
View attachment 2375505
Piganieni Tanganyika yenu irudi apate kurudi ZanzibarHuu uamuzi wake ndio unazidi kumuonesha vile alivyo Rais asiyejitambua, ana pretend kutaka mtu wa kufanya nae kazi kwa kuangalia experience, halafu akishampata anakuja kumuondoa kwa kukataa kukubaliana na msimamo wa wengine, Rais anayependa kuzungukwa na kundi la wajinga.
Ni kawaida ya wicked people to celebrate the down fall of successful people.Keshapigwa chini,mambo ya exposure akafanye kwenye familia yake,I even don't want to know how extensive her exposure is.
Na kwa style hii haulambi teuzi watu wa vetting hawawezi kubali mtu ambaye ni bitter.JPM alikuwa kiazi tuu ila kwa wajinga kama wewe alikuwa mwamba
🤣🤣🤣Kazi yao nyingine ni kusimamia mitihani ya Taifa ya darasa la nne na la saba
Aliyekwambia natafuta teuzi nani? Sera za Serikali ya awamu ya 6 ni rafiki kwa biashara nayofanya,hayo ya teuzi mtajua nyie mnaeitwa Chawa..Na kwa style hii haulambi teuzi watu wa vetting hawawezi kubali mtu ambaye ni bitter.