MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Another beautiful morning in Banana Republic.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FactosViongozi wengi wa Kiafrika hupenda kufanya kazi na wale wasaidizi wenye akili za kichawa! Ukiwa ni mtu smart na usiyependa uswahili na ubabaishaji, wanakuona snitch.
Huyo ambae amepiga picha na waziri ni Biden na Jill Biden mkeweAlafu mbona Balozi Mulamula kaegemea sana upande wa Baiden kuliko upande wa Kamala ambae ni Mwanamke mwenzie!!??
Kati ya Taasis zinazotakiwa kuvunjwa na kuundwa upya hii inaongozaNdiyo hasara ya kuwa na usalama wa Taifa ambao kazi yake ni kuilinda CCM ibakie madarakani badala ya kulilinda Taifa.
Labda ni baada ya Biden kumuoa vice wake😂🤣Kamala ambae ni Mwanamke mwenzie
Na hili jambo liko wazi kabisa. Kiukweli mtaani hali ni tete! Wananchi wengi wanalia, halafu hakuna mtetezi.Kuna mahali kuna mambo hayapo sawa, just a matter of time.
Ataondoka huku bado anatoa maagizo ya kuteua kwa wengeHuyu muda wake utaisha anateua pekee
Wewe una uhuru sana wa kusema sema hongera sana. Una clearance gani mpaka uwe unajua kila kinacholindwa au ndio umekaa kuimba mapambio ya Ufipa.Ndiyo hasara ya kuwa na usalama wa Taifa ambao kazi yake ni kuilinda CCM ibakie madarakani badala ya kulilinda Taifa.
Na hili jambo liko wazi kabisa. Kiukweli mtaani hali ni tete! Wananchi wengi wanalia, halafu hakuna mtetezi.
Kama kampa Kairuki hamna kitu pale labda ampe kulaSasa huyo Kairuki aliye feli Wizara zote ana IQ gani ktk TAMISEMI??
Basi hiyo wizara atapewa shangazi yakoSasa huyo Kairuki aliye feli Wizara zote ana IQ gani ktk TAMISEMI??
kwa hiyo Samaya hakupiga picha na Biden pamoja na mkewe!? ila waziri alipiga nao picha!?
mwenye picha ya Samaya,Biden na mkewe ailete.
ndiyo, tozo mkuu.Mkuu umeshalewa asubuhi yote hii! Samaya ndio nani tena, au umevurugwa na tozo?
Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile.
Mbunge gan mwenye uwezo kaachwa?Kati ya Taasis zinazotakiwa kuvunjwa na kuundwa upya hii inaongoza
Kuna mawaziri na manaibu waziri kwenye wizara ni vichefuchefu kweli na hawana mchango wowote positive kwenye maendeleo ya sekta zao ila kila ukiona cabinet reshuffle unawakuta wapo palepale wakati kuna wabunge wengi wenye uwezo mkubwa wanaachwa
Zako ziko wapi JoAcha hizo wewe!